mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
nilijua ungekuja na ule wa babu duni aliyepeleka necSi mruhusu waende mahakamani kma Kenya ndio akaumbuke!!
Pili mlivamia kituo chao cha kutally miliogopa nni?? Tacceu je waliokuwa wanachukua matokeo kutoka vituo vyote Y mliwapora matokeo???
Hapo mnategemea ushahidi autoe wapi lets say anao Kma maalim mmemsaidiaje kupata haki yake?? Mnashangaza sana