Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
 
Mshindi katika uchaguzi hutangazwa na tume.
Hata hivyo, vyombo na vyama dola huwa vinatia madoa uchaguzi huru pale matendo Kama kukamata vijana wa chadema waliokuwa wakijumlisha, kubatilisha matokeo ya wawakilishi Zanzibar baada ya kuwatangaza n. k.
Mshindi atangazwe bila mizengwe. Wakati mwingine yaweza kuwa ni upuuzi tu wa watendaji wa tume na vyombo vingine na siyo upendeleo.
 
Alishindaje wakati Wafuasi wake walipuuza ushauri wake wa kulinda kura mita 200!
 
Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
Anamaanisha Angefanya kama anayoyafanya Odinga kule Kenya kwa sasa.Ameonaakiingia ikulu bila yakumwaga damu inapendeza zaidi
 
Yes Na aliyeweka Alogarithm kwenye servers amepewa zawadi ya Mkurugenzi Mkuu wa TIS Ndivyo walivyomwibia Lowassa kama Uhuru alivyomwibia Raila. Hata kama Mkapa+Kikwete+Mbong'oa pushap wangegombea wote kwa pamoja Wasingemshinda Lowassa.
 
Back
Top Bottom