Hizo kauli alisha zisema marehem mtikila kuwa akili ya mtu ikiingiwa jambo si rahisi kumtoka lowasa alishaingiwa kua ndie atakeyekua raisi wa nchi hii toka akiwa ccm na wala hakutegemea haya yalomkuta
Hivi alivyo kiakili hana tofauti na mugabe kabisa kuwaza uongozi tu sio jingine Afya zao au umri wao ni kuwa maraisi tu hayo unayosikia akiyasema ndo akili ilikolemaa.