Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ameandika ukweli mtupu, wanawake hawapendi wanaume wapole, wanapenda sana play boys, wawaumize, wawakunje kunje na kuwatandika sometimes, hapo mwanamke anakuwa na ile feeling ya kuwa "nipo kwenye mikono salama" so ukipata limwanamke lako lifanyie hivyo, atakuelewa.hadithi za kutunga za kijingajinga tu ulichoandika hapa upuuzi
Njooni kwa Yesu mpumzishwe hiyo mizigoWanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu unanesa nesa, nikausindikiza kwa macho huku nikizuia shingo isirotate ili nisimkwaze mchumba wangu, muda huo mchumba wangu alikuwa busy anachat njiani
Nilishtushwa na swali, "Mbona huangalii nyashi kama wenzio?" Nikabaki nacheka tu, akamalizia kwa kusema, "Tatizo lako huna hekaheka, umepoa kama uji wa mgonjwa, nilidhani simu yako huwa unaieka Airplane Mode unapokuwa na mimi, kumbe huna wa ziada wa kukusumbua sumbua", kisha akacheka, kiutani utani tu penzi likavuja na kufa kabisa
Mtaani kwangu kuna kijana mwenzangu hatari sana unaambiwa, ananunua nyapu kuliko maelezo, cha ajabu vibinti vya Form Thrii, wakina Dazeti, majimama, mke za mtu zinamgombania kuliko kawaida. Mwenzie natoka nje na ka baibo kangu, maji ya uhai pembeni na kiredio changu chenye flash iliyosheheni ngoma za Awilo Longomba, cha ajabu kila binti ninayemuita, anaishia kusema "Seriously!" na kuondoka
Wanawake kuweni na huruma, wengine tuko single
Kuna mtu anayetaka kuingia kwenye maji asojuwa kina chake?Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu unanesa nesa, nikausindikiza kwa macho huku nikizuia shingo isirotate ili nisimkwaze mchumba wangu, muda huo mchumba wangu alikuwa busy anachat njiani
Nilishtushwa na swali, "Mbona huangalii nyashi kama wenzio?" Nikabaki nacheka tu, akamalizia kwa kusema, "Tatizo lako huna hekaheka, umepoa kama uji wa mgonjwa, nilidhani simu yako huwa unaieka Airplane Mode unapokuwa na mimi, kumbe huna wa ziada wa kukusumbua sumbua", kisha akacheka, kiutani utani tu penzi likavuja na kufa kabisa
Mtaani kwangu kuna kijana mwenzangu hatari sana unaambiwa, ananunua nyapu kuliko maelezo, cha ajabu vibinti vya Form Thrii, wakina Dazeti, majimama, mke za mtu zinamgombania kuliko kawaida. Mwenzie natoka nje na ka baibo kangu, maji ya uhai pembeni na kiredio changu chenye flash iliyosheheni ngoma za Awilo Longomba, cha ajabu kila binti ninayemuita, anaishia kusema "Seriously!" na kuondoka
Wanawake kuweni na huruma, wengine tuko single
🤣🤣🤣🤣🙌Wanawake hawajui wanachokitaka.
Atavizia simu ya mume, asipoona meseji za mahawara anasonya, akiziona analiamsha. Akikuta password analianzisha.
Ukimuomba shoo anasema anaumwa tumbo, usipo omba shoo kwa wiki nzima unaambiwa una michepuko Tena wewe Ni Malaya mbwa, ukimnunulia khanga Cha kwanza anaangalia maneno yaliyoandikwa, ole wako yawe maneno ya uswahilini.
Wewe ni zoba.Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu unanesa nesa, nikausindikiza kwa macho huku nikizuia shingo isirotate ili nisimkwaze mchumba wangu, muda huo mchumba wangu alikuwa busy anachat njiani
Nilishtushwa na swali, "Mbona huangalii nyashi kama wenzio?" Nikabaki nacheka tu, akamalizia kwa kusema, "Tatizo lako huna hekaheka, umepoa kama uji wa mgonjwa, nilidhani simu yako huwa unaieka Airplane Mode unapokuwa na mimi, kumbe huna wa ziada wa kukusumbua sumbua", kisha akacheka, kiutani utani tu penzi likavuja na kufa kabisa
Mtaani kwangu kuna kijana mwenzangu hatari sana unaambiwa, ananunua nyapu kuliko maelezo, cha ajabu vibinti vya Form Thrii, wakina Dazeti, majimama, mke za mtu zinamgombania kuliko kawaida. Mwenzie natoka nje na ka baibo kangu, maji ya uhai pembeni na kiredio changu chenye flash iliyosheheni ngoma za Awilo Longomba, cha ajabu kila binti ninayemuita, anaishia kusema "Seriously!" na kuondoka
Wanawake kuweni na huruma, wengine tuko single
Nunua Gari utato...mba mademu wote wasio na pesa, Tena bure kabisa.
Wanawake walivyo wajinga wajinga ukiwa na gari wanajua Tayari pesa ipo.Acha nikakodi gari kumbe ni easy tu
Kama ni hivyo kwanini manchukia mkisalitiwa au mnavunja penzihata kama ni wewe unaenda dukani, utaenda duka lililopoa..? kumejaa tu nzi hakuna mteja hata mmoja wa kuzugia..? Ama utaenda lile lenye wateja wengi na hekaheka..??
Lazima tujue ni kwanini 'hakuna anayekutaka'..?
izo nidharia za kujifariji 99% wanawake siku zote wanapenda highvalue man usije ukijifanya baddest ukadhani utawanasaAmeandika ukweli mtupu, wanawake hawapendi wanaume wapole, wanapenda sana play boys, wawaumize, wawakunje kunje na kuwatandika sometimes, hapo mwanamke anakuwa na ile feeling ya kuwa "nipo kwenye mikono salama" so ukipata limwanamke lako lifanyie hivyo, atakuelewa.
izo nidharia za kujifariji 99% wanawake siku zote wanapenda highvalue man usije ukijifanya baddest ukadhani utawanasa
high value man ni wanaume wenye pesa kazi za maana mf CEO,wabunge mawaziri ,n.kHigh value ipi pesa na majumba