PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 301
- 199
hebu jiajiri fasta.......! yaaani una muda wakuingia JF wakati fursa zipo zakutosha!!!!!!!!!!!!!!(usininukuu vibaya)TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!
Huu ni uwendawazimu wa kifikra...wanadhania kujiajiri ni kazi ndogo halafu sijui wanaposema ujiajiri sijui katika kitu gani labda ndio tatizo lao lipo hapo...maana any ajira binafsi inataka Capital ya kuanzisha sasa mtu katoka chuo iyo ela ya Capital atapata wapi sasa...tuangalie cha kupost au kureply sio unaongea tuu jiajiri wakati hata kwako hauna fridge la kuuza Ice cream...TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!

Hivi mwanafalsafa unajua hali halisi ya Tanzania kweli?? Inabidi unapochangia mada au hata unapotaka kufanya kitu chochote jaribu kufanya utafiti, na kujiuliza maswali kuwa JE HILI NINALOLIONGEA LINAWEZEKANA?
Mwanafalsafa USIWE KAMA WABUNGE WA CHAMA FULANI WANAOLILIA MASLAH YAO PEKE YAO NA WANAO NA KUSAHAU KUWA HATA WAKIWA WANATOKA DAR KUELEKEA DODOMA KUNA WATANZANIA KIBAO WAMEPAUKA HALAFU WAKISHAINGIA BUNGENI WANAJISAHAU NA KUFANYA YAO!
Kamata fursa twenzetu. Ukiona umepata ajira nenda ajirani ukiona kuna fursa ya kujiajiri fanya hivyo.
Swala ni kuchangamkia fursa sio unahangaika na bahasha miaka miwili wakati ungepitisha mitumba hostel za wadada wa vyuoni ungekuwa usharudisha ada yako ya chuo kwa asilimia angalau mbili