Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
303
199
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!

Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!
 
serikali ya KJ 2005 ndio chanzo cha haya yote...

siamini kabisa kwamba nchii hii na maliasili zote, inaweza kuwa na wimbi kubwa kiasi kwa raia wake kuwa unemployed..!

KJ 2005 kasoma economics, lakini anajadili taarabulism tu serikalini....
 
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!
hebu jiajiri fasta.......! yaaani una muda wakuingia JF wakati fursa zipo zakutosha!!!!!!!!!!!!!!(usininukuu vibaya)
 
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!
Huu ni uwendawazimu wa kifikra...wanadhania kujiajiri ni kazi ndogo halafu sijui wanaposema ujiajiri sijui katika kitu gani labda ndio tatizo lao lipo hapo...maana any ajira binafsi inataka Capital ya kuanzisha sasa mtu katoka chuo iyo ela ya Capital atapata wapi sasa...tuangalie cha kupost au kureply sio unaongea tuu jiajiri wakati hata kwako hauna fridge la kuuza Ice cream...
 
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!

Swali la ujenzi...
 
Hahaa! Hiyo kawaida kwetu watanzania, "Wenyewe tunasema fuata maneno sio matendo!?"

Akili ya kuambiwa changanya na yako, sawa mtanzania mwenzangu?
 
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA! Inasikitisha sana hapa tz kwetu, wanaotoa elimu ya ujasiria mali yeye mwenyewe kaajiriwa na ni mwoga hata kusikia neno JIAJIRI, AU HAKUNA AJIRA WAKATI YEYE ANAYO!
Tukubali kitu kimoja ni kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana na utakuta jitu linazungumzia kujiajiri wakati lenyewe hata watoto wake anawatafutia ajira.
TUTAACHA LINI HUU UNAFIKI WATANZANIA?!!

akili za kuambiwa changanya na zako
hatariiiii ajira kwa sasa ni blah blah kama siasa
 
Kama wewe huna ajira na una lalamika haupati kazi, una lalamika kila siku kwamba ofisi zina upendeleo kwenye kutoa ajira kwa nini usijiajiri? Kujiajiri ni mbadala wa kuajiriwa. Mwenzako kama kaajiriwa ina maana hana tatizo la ajira kama asio na ajira kabisa. Ila mwisho wa siku mtu anaweza kukushauri tu ila wewe ukiona upambane na kutafuta tu ajira go ahead its up to you ila kama mtu huna ajira kabisa ni vizuri kufikiria pande zote (ajira na kujiajiri).
 
Hivi mwanafalsafa unajua hali halisi ya Tanzania kweli?? Inabidi unapochangia mada au hata unapotaka kufanya kitu chochote jaribu kufanya utafiti, na kujiuliza maswali kuwa JE HILI NINALOLIONGEA LINAWEZEKANA?
Mwanafalsafa USIWE KAMA WABUNGE WA CHAMA FULANI WANAOLILIA MASLAH YAO PEKE YAO NA WANAO NA KUSAHAU KUWA HATA WAKIWA WANATOKA DAR KUELEKEA DODOMA KUNA WATANZANIA KIBAO WAMEPAUKA HALAFU WAKISHAINGIA BUNGENI WANAJISAHAU NA KUFANYA YAO!
 
Kamata fursa twenzetu. Ukiona umepata ajira nenda ajirani ukiona kuna fursa ya kujiajiri fanya hivyo.
Swala ni kuchangamkia fursa sio unahangaika na bahasha miaka miwili wakati ungepitisha mitumba hostel za wadada wa vyuoni ungekuwa usharudisha ada yako ya chuo kwa asilimia angalau mbili
 
Ni kwamba hujaelewa text yangu au unataka kusema Tanzania mtu kujiajiri haiwezekani? Mimi nina mifano hai ya watu wengi tu walioanzisha miradi yao wenyewe tena wengine wakiwa bado sekondari au chuo kikuu. Sisemi kila mtu aajiriwe na sisemi kila mtu ajiajiri ila kama huna kazi yoyote kabisa si vibaya kuwaza namna ya kujiajiri. Au una dhani kujiajiri ni lazima uwe na kampuni kubwa yenye input ya mamilioni kwa mwezi?
 
Kamata fursa twenzetu. Ukiona umepata ajira nenda ajirani ukiona kuna fursa ya kujiajiri fanya hivyo.
Swala ni kuchangamkia fursa sio unahangaika na bahasha miaka miwili wakati ungepitisha mitumba hostel za wadada wa vyuoni ungekuwa usharudisha ada yako ya chuo kwa asilimia angalau mbili

Asante mkuu. Mimi nashangaa mtu ana lalamika ajira ni ngumu wakati huo huo ukimpa wazo la kujiajiri anaona umemtusi. Sasa kama kazi hakna na hautaki kujiajiri ushauriwe nini? Nadhani wengi wakiambiwa neno "kujiajiri" wana waza miradi yanayo hitaji mamilioni ya pesa kuanzisha. Kumbe mtu unaweza ukafungua kitu leo kwa shilingi laki moja (mfano) na baada ya miaka michache ukawa na kipato kuliko huyo ambae kaajiriwa.
 
Hata wale wanaotangaza kamata fursa twenzetu kumbuka nao wapo kwenye ajira.. sasa wote wangeacha wakaiajiri lile tangazo au ule ushauri nani angekutangazia.
Vitu vingine haviepukiki ila kisiwe kisingizio cha wewe kutotumia fursa au kutojiajiri kisa mtangazaji aliye kutangazia au mwanasiasa au mtu yeyote amayekushauri ujiajiri kaajiriwa, wapo walioajiriwa na bado wamewekeza kwenye vitega uchumi vyao binafsi au biashara coz wanajua hawatakaa kazini milele.
 
Inategemea unamwongelea mtu wa level gani ya elimu. Tatitizo la ajira maana yake nini? Mtu wa chuo akitaka kujiajiri lazima mtaji uwe mkubwa kidogo ukilinganisha na darasa la saba hata kama wote wanamawazo sawa ya fursa. Kazi zingne za kujiajiri ni za kipuzi sana tusishushe sana elimu ya kibongo hata kama haiwafanye vijana kujiajiri.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom