haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,832
- 4,627
Asanteh kwa kuligundua hilokwa jinsi tu ulivyoandija nimegundua wewe ndiye ULIYEPIGWA pole sana.
Asanteh kwa kuligundua hilokwa jinsi tu ulivyoandija nimegundua wewe ndiye ULIYEPIGWA pole sana.
Jeshini kadri unavyopanda cheo ndivyo unazidi kurudi nyuma katika uwanja wa vita private na coplo ndio wapo front sasa askari awepo front awe na roho kama Kakobe? Lazima uwe umevurugwa ili usonge bila woga na hizi ni tabia za Majeshi yote Duniani sio TZ tu na hata hao Generals walikuwa askari before kwa hiyo wapo hivyo hivyo.Na hao ndio wapiganaji wa vitani wenyewe hao. Hao wastaarabu unaowasema ni wakaaji tu ofisini.
Ni kweli mtu mwenye elim ndogo au asiyesoma hana busara???wale wote namba moja mpaka saba mara nyingi wanakuwa graduate kwa hiyo moja kwa moja huwa wanajifunza mambo ya management vyuoni lakini hawa ndugu zangu kuanzia namba nane mpaka mwisho utakuta wengi ni wale waliomaliza darasa la saba, kwa hiyo suala la busara kichwani halipo kabisa zaidi ya kutumia nguvu na ubabe
Umemaliza kila kitu, huo ndiyo ukweli ingawa siyo wote!Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
Na Wenye Vyeo Vya UGOKONI Kuanzia Private Hadi Warrant Officer Huwa Ni:
- Wastaarabu
- Wana Hekima
- Wanajitambua
- Wakarimu Na Marafiki Wazuri
- Hawana Makuu Wala Dharau
- Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
- Hawana Uhuni Na Siyo MALAYA
- Wagomvi Hasa Mitaani
- Wababe Wa Kipuuzi
- Hata Ukikaa Nao Kijiweni Hakuna Madini Wanayoyatoa Katika Vichwa Vyao
- Wana Matumizi Mabaya Ya PESA
- Omba Omba Sana Pindi Wakiishiwa
- Hawapendi Kujiongeza KIELIMU
- Wanapenda Mno SIFA, Wana DHARAU Na Wanapenda Kuogopwa Na Raia
Hapo vice versa. Wapo wenyewe elimu kubwa ila hawana busaraNi kweli mtu mwenye elim ndogo au asiyesoma hana busara???
Maana naona kama Tanzania yetu hii walim wa UPE ndo wametufundisha kusoma,kuandika na kuhesabu,lakini maprofesa huko chuo hata kudeliver concept hawawez,wasomi ndo wameonekana wezi na wabadhilifu hasaaaa makaziniHapo vice versa. Wapo wenyewe elimu kubwa ila hawana busara
Elimu ya chini ndo ipi? au ndo ile ukitaka kuipata lazima uiname? au je elimu ya juu ndo ile kuipata kwakwe mpaka upande juu ya stuli/kigoda ndo uipate?Ndugu yangu shule nayo inasaidia mtu kuwa mstaarabu wale wenye vyeo vya chini non~officer elimu zao wengi wao ni za chini wapo waliofika 4m4 kwa kifupi darasa lao kichwani ni dogo ndio maana wasumbufu ila ubabe,usumbufu,ugomvi&matumizi mabaya ya fedha ni tabia za mtu sio tabia za jeshi
Labda tu niwape ufafanuzi kidogo
Kuanzia private hadi w/officer hawa wanaitwa askari na kuanzia nyota moja hadi General ni officers.
Private na Coplo hawa ndio wapiganaji kwa hiyo kwa nature ya kazi lazima maovyoovyo yawahusu hata huko wanakosomea uafisa wa jeshi Coplo's na Private ndio walimu wa kuwatengeneza officers.
Sasa ukiona askari wa cheo cha private hadi koplo anatabia za kilokole hajaiva huyo bado na hawa sio wagomvi bali ukiingia kwenye kilengeo chao lazima utapike nyongo huo ndio uaskari kama wewe ulitaka wakubembeleze iyo kitu kijeshi hakuna.
Delete away your thread kabla hujachafua hali ya hewa, umekurupuka kuandika usichokijua
Mkuu utafiti wako ni mzuri. Hao wasio na vyeo wasumbufu utafikiri wao ndio maamiri jeshi wakuu. Wasumbufu sana mitaani na ni wachokozi. Halafu hawana nguvu wakipigwa wanaenda kuitana na kuja kundi. Ugomvi wao mwingi ni kunywa pombe bila kulipa na kugombea wanawake wakizidiwa na raia ndio inakuwa shida
Jeshini kadri unavyopanda cheo ndivyo unazidi kurudi nyuma katika uwanja wa vita private na coplo ndio wapo front sasa askari awepo front awe na roho kama Kakobe? Lazima uwe umevurugwa ili usonge bila woga na hizi ni tabia za Majeshi yote Duniani sio TZ tu na hata hao Generals walikuwa askari before kwa hiyo wapo hivyo hivyo.
Naona unajaribu kutaka kunijuaPosts Zako Zinaonyesha Kabisa Ni Jinsi Gani Jeshi Letu La Sasa Lina WAPIGANI Pentium Zero Kabisa Hivyo Kuna Haja Ya Kufanya Restructure Ya Jeshi Letu. Majibu Yako Yamemtia Mno AIBU Generali Ninayemkubali CDF Wenu Kwani Kwa Ninavyomjua Yeye Angejibu Asingenijibu KIPOPOMA Hivi. Endelea Mkuu Kutuonyesha KIWANGO Chako KIBOVU Bora Cha Upungufu Wa FIKRA. Na Nina Uhakika Kuwa Kwa Majibu Haya Wewe Ndiyo Wale Wale Wa Fungu Langu Lile La Pili La Kuanzia Private Hadi Warrant Officer. Pole Sana!

Kuwa na amani bro naongea kwa uelewa wangu juu ya JWTZ maneno yangu sio sheria wenyewe wanajua namna ya kuelezea ivi vitu ila huku mtaani tunaeleaza kwa ujuaji wetu braza.Posts Zako Zinaonyesha Kabisa Ni Jinsi Gani Jeshi Letu La Sasa Lina WAPIGANI Pentium Zero Kabisa Hivyo Kuna Haja Ya Kufanya Restructure Ya Jeshi Letu. Majibu Yako Yamemtia Mno AIBU Generali Ninayemkubali CDF Wenu Kwani Kwa Ninavyomjua Yeye Angejibu Asingenijibu KIPOPOMA Hivi. Endelea Mkuu Kutuonyesha KIWANGO Chako KIBOVU Bora Cha Upungufu Wa FIKRA. Na Nina Uhakika Kuwa Kwa Majibu Haya Wewe Ndiyo Wale Wale Wa Fungu Langu Lile La Pili La Kuanzia Private Hadi Warrant Officer. Pole Sana!
wanajeshi ambao sio commisioner mara nyingi wana athariwa na uwanja wa vita au operation mbalimbali wanazozifanya. unamkubuka yule askari wa marekani aliye athiriwa na operation za kivita mpka kupelekea kuingia mitaani na kuua watu ovyo,huyo alikuwa koplo alikuwa kila vita lazima apangwe hasa utakuta ndani ya mwaka mmoja kapigana vita/operation zaidi ya tano afu zote nzito na si za mda mfupi almost 4 month.
Kule kwenye uwanja wa mapambano no utoto wa mama ni mashambulizi kwa kwenda mbele utakuta mtu kakatwa kichwa mbele yako,umempiga risasi mama mjamzito. Sasa ukiangalia hapo akili yake lazima iathirike, anakuja uraiani afu unamjibu ovyo atakuvunja mguu ndugu...
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNi kama vile manyumbu na bosi wao fisadi Lowasa, yeye siyo mshari wala mgomvi mgomvi ila shida ipo kwa wafuasi wake mitusi mtindo mmoja hivyo ni kawaida!