Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Teh teh teh, unadhani ni sisipi kule.Dogo, kuna watu wana vitambulisho kama saba hivi na vyote ni hai.
Upolisi mwingine ni zaidi ya monduli.
Teh teh teh, unadhani ni sisipi kule.Dogo, kuna watu wana vitambulisho kama saba hivi na vyote ni hai.
Upolisi mwingine ni zaidi ya monduli.
Wewe jamaa leo umekuwa MKURYA, baadae utasema ni MTUTSI.
Hii habari Ni ya kweli au Ni habari kutunga, ukamilishe chuki zako juu ya jamii fulani. Kugombea mwanamke, sidhani siku hizo bado mwanamke anagombewa, Labda nyie mtakua wanywa mataputapu, maana zile ni pombe zisizo ustaarabu. Ila nikwambie tu Jeshi la Tanzania kwa sasa wengi Wao tunaishi nao wenzetu Na tunashirikiana nao vizuri maana wengine ni majirani zetu, siku zote mwombe Mungu akuondolee mtizamo wa Chuki. Maana ukiwa Na mtizamo huu, ukipishana lugha mtu mfano: Mwalimu, utaona umekosewa na walimu wote, hata Kama jambo lenyewe linahusu mipaka ya shamba wa sio kazi yake.Na Ugomvi Wangu Mkuu Na Huyu MJEDA Niliyempa " NAKOZ " Za Kufa Mtu Ni Kitendo Chake Cha Kumpiga KIBAO Mshikaji Wangu Kisa Wanagombania DEMU Ndipo Nikamwambia Kijana Kuwa Akae Pembeni NIMFUNDISHE MTU ADABU Na Hakika Cha Moto KAKIONA. Halafu Nasikia Alivyoenda Kambini Kwao Kawaambia MASELA Wake Ili WAJE KITAA USIKU Leo Wanivizie Na Mimi Pia Nikatoa TAARIFA Huko Huko Kupitia MSHIKAJI Wangu MJEDA Mwenzao Kuwa Hata WAKIJA KUNDI KWANGU ILA WAKAE WAKIJUA KUWA VITA YA MKURYA HUWA HAIISHI LEO WALA KESHO Na Wakifanya MZAHA Hata Hiyo Kambi Yao INAWEZA IKAHAMA Hapo Kwa FUJO Zangu Za KUTUKUKA. Halafu Viaskari Vyenywe Ni Vidogo Lakini Vina SIFA KWELI Mkuu. Mbona WAKUBWA Zao Wengi Ni Washikaji Zangu Na Tunaheshimiana Iweje Hivi Vitoto Vya Juzi Vimefundishwa Tu Kugalagala Chini, Kuruka Vihunzi, Kutambaa Kama Mjusi Pori Katika Kamba, Kufyeka Hapo Lugalo, Kuruka Sarakasi Na Kufyagia Makambini Leo WAJIFANYE Wao Ndiyo JESHI KAMILI?
Ni kweli kabisa angalia hata viongozi wetu wenye elimu kubwa wengi ni wezi. Ngoja nimtaje mmoja ila naogopa kutolewa kuchaMaana naona kama Tanzania yetu hii walim wa UPE ndo wametufundisha kusoma,kuandika na kuhesabu,lakini maprofesa huko chuo hata kudeliver concept hawawez,wasomi ndo wameonekana wezi na wabadhilifu hasaaaa makazini
Utawachanganya MAPOPOMA wenzako tu.Huwa Napenda Mno Kama Siyo Sana KUWACHANGANYENI KISAIKOLOJIA Na Hakika NINAWATESA KUNAKOTUKUKA. Ndiyo Tatizo La Kuwa Over " Genius ".
Na watakuja tu na kama alivyosema ni wa tabia hizo tusubiri kasheshe zao humu.Ngoja waje
Baba makutupola&msata ni shidaaf uctake kuwatisha wa2 kuwaogopa wakurya, wakurya sifa yao kubwa ni wakorofi2 na kutumia mapanga na hawajashindikana kupigika. Hapa hakuna cha kabila wala nini,kama ni dep kila kabila linaweza kwenda dep na inajulikana waz aliemaliza dep anakua na sifa gan. Na ucjipe moyo et kama ulimpiga fulan unawaweza wote angalia ucje ukasoteshwa mpaka uwaone wanajesh kama simba wa mwituni. Na kama binadam 2ngekua bidhaa bas bidhaa ngumu ingekua ni ile iliopitia makutopola au msata...