Hivi ni kwanini Rais Magufuli anafuatiliwa sana nchini Kenya?

Burudani ❗ 👍 bongo flava only. But siasa no. Wanasiasa wenu hawajulikani. Only magufuli is known by watu wachachewanaofuatilia siasa
 
Burudani ❗ 👍 bongo flava only. But siasa no. Wanasiasa wenu hawajulikani. Only magufuli is known by watu wachachewanaofuatilia siasa
Hahaha your analysts can't talk three words without mentioning him
Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) Tweeted:
The gov't is supplied with a 1ltr bottle of water at Ksh.400, petrol at about Ksh.90 and it has come all the way from Iran; and they have no shame! The minute you stop entertainment in public offices you will save 10% of the money that is spent. Magufuli did it ~ Kabogo #JKLive Citizen TV Kenya on Twitter ( )
 
Acha kejeli za kijinga wwe! Tusifikie mahali pa kuwakejeli viongozi wetu kwa kufurahisha nafsi zetu. Huu ni utoto. Kama tumeamua kuwajadili viongozi wetu tufanye hvyo kwa heshima.

Hii ni Africa Mashariki yetu sote, tunapaswa kuijenga kupitia kila jukwaa. Popote upatapo nafasi wajenge viongozi wetu na Nchi zetu.

#Najiona fahari kuzaliwa Africa Mashariki.
Nimemskia tu Sonko akimnukuu Magufuli mara moja. Alimtumia Magufuli kama excuse ya kutoa matamshi ya kijinga, ama policy ya upuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jambo hulijui kukaa kimya ni busara na maarifa pia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Hahahaaa watu wa kenya hawampendi magufuli hadi wanaomba awe rais wao ili nchi iendelee, hawampendi huku wagombea wanajinadi kiwa kama wakishinda irais basi wataongoza kama magufuli. 254 shame on you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasukumizwa.

From the Horse's mouth.
 
Kama jambo hulijui kukaa kimya ni busara na maarifa pia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sio vita bana wala sio sifa, mimi ni mmoja wa wakenya ambao huwa wanafatilia habari za Tz na ndio maana nikisema wakenya wengi huwa hawafanyi kama mimi najua ninaongea kuhusu nini. Kama una maoni mbadala, changia mada bila ya kuninukuu.
Magufuli deals fresh blow to President Uhuru - Business Today Kenya
Wewe tuwekee mainstream ya Tanzania iliyoripoti habari za Uhuru Kenyatta ndani ya miezi mitatu iliyopita Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nini? Nadhani uzi huu ni kuhusu wakenya, sio watz.
 
Mbona hueleweki wewe?, tunakuletea ushahidi unaothibitisha kwamba media za Kenya zinaripoti habari nyingi za Magufuli kuliko other way round, au unataka nini tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Kamwone dk wa magonjwa ya akili.hauko vzr kichawni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…