Hivi ni kwanini MH Freeman Aikaeli Mbowe amejificha?

Hivi ni kwanini MH Freeman Aikaeli Mbowe amejificha?

Mtu anaetumia gari ya serikali na dereva wa serikali anajificha vipi? Si wampigie simu dereva wao wamuulize.
 
Detection time after last use ya cocaine au opium iwe test ya mkojo ama damu ni kuanzia masaa 5 hadi masaa 24,

bangi ndo inastick sana mwilini hata wiki bado kutakuwa na trace,

sasa hata kama mbowe anatumia cocaine sioni logic ajifiche mwezi mzima,wakati usipotumia madawa wiki moja ukija kupima itasoma negative,

unless labda mbowe anaogopa kupewa false test results kwa nia ya kumuua kisiasa.


Na ukweli ni kuwa atakapopimwa awe kweli mtumiaji au si mtumiaji ila wakaamua tu kusema amekutwa positive,madhara kisiasa kwa chadema ni makubwa mno,pengine ndo maana kaamua kukacha.

Kikubwa kama hatumii,vijana wake wa kitengo cha habari ni juu yao kuwaelimisha kwanza watu kuhusu ukweli wa vipimo hivyo,
kwamba kuna uwezekano wa kubambikwa majibu fake
Je kama natumia naweza kukaa siku nzima au siku mbili bila kutumia na bila kupata arosto?
 
Amejificha wapi mkuu ukienda nyumbani kwa mtu halafu usimkute ndo amejificha? Swala la kwenda central alishasema na kutangaza kuwa haendi
 
Mbowe yupo south Africa nimepanda nae ndege jumamosi
Hongera kupanda ndege Mkuu! Hujatapika?
Bora hata anayebwia poda anayeathirika mwenyewe huko, kulikoni kuwa na wenye makontena ya meno ya tembo athari zake ni kwa taifa,

Mbowe kesho atakuwa central. Tu ni kwamba kiongozi wa ngazi ya mkoa anapomwita kiongozi wa ngazi ya taifa kwa kumdhalilisha haifai na haikubaliki.
 
Kati ya m/kiti anaetumia poda na anaetatua watu marinda,yupi bora?
Hata kama kuna Uhuru wa kujieleza hili limepita mipaka sidhani kama no sahihi.
Hata kama humu umejificha lakini kwa hili ungepaswa utoe ufafanuzi wa kina kwa lugha ulotumia.
 
Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.
Mbowe gari kubwa lile wewe.......lazima awatie jambajamba magamba kwanza.

anyways....am sure ataitikia wito pale tu Siro & co watakapotumia njia sahihi za kumuita mtuhumiwa wa aina yake.
 
Hapa ndio naamini kuna mkubwa na mdogo
Kweli Mbowe ni wakukimbia!!
 
Katika list ya watu 64 , wangap hawajaenda kureport ,
Kwa nini wamemshupalia Mbowe peke yake ?

KARIBUNI NCHI YA VI WONDER
MJIONEE MAAJABU MUBASHARA.
 
Mwenyekiti wa Sisi- EMU naye akapimwe damu!

Kuna madai kuwa anavuta ile kitu ya Ara!
 
Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.
Hivi unafikiri kule ostabay underground ni kizuri[emoji86]
 
Bora hata anayebwia poda anayeathirika mwenyewe huko, kulikoni kuwa na wenye makontena ya meno ya tembo athari zake ni kwa taifa,

Mbowe kesho atakuwa central. Tu ni kwamba kiongozi wa ngazi ya mkoa anapomwita kiongozi wa ngazi ya taifa kwa kumdhalilisha haifai na haikubaliki.
Alimuita kama mkazi wa Dar hakumuita kama kiongozi wa chama
 
Anamuogopa mkemia mkuu,kama yeye so drug addict, ajitokeze basi.
09db9d0555c10563e20b1f1494f96250.jpg
 
mm nilikuwa namjibu alisema kenyata yuko vizuri.Nawewe nakujibu hivi,magufuri ni zaidi kawaida,ndiyo habari ya TZ.

Kwa majibu yako hakika naiona Tanzania ya Vi-wonder na ubarikiwe sana baki na msimamo wako mpaka 2020 mkuu.
 
Ukimfuma kona sasa jicho litamtoka ile mbaya. Watz tunampenda ila polisi wanampenda zaidi.
 
Back
Top Bottom