Hivi ni kwanini MH Freeman Aikaeli Mbowe amejificha?

Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.
Utaratibu upoje kumuita mtuhumiwa
 
Detection time after last use ya cocaine au opium iwe test ya mkojo ama damu ni kuanzia masaa 5 hadi masaa 24,

bangi ndo inastick sana mwilini hata wiki bado kutakuwa na trace,

sasa hata kama mbowe anatumia cocaine sioni logic ajifiche mwezi mzima,wakati usipotumia madawa wiki moja ukija kupima itasoma negative,

unless labda mbowe anaogopa kupewa false test results kwa nia ya kumuua kisiasa.

Na ukweli ni kuwa atakapopimwa awe kweli mtumiaji au si mtumiaji ila wakaamua tu kusema amekutwa positive,madhara kisiasa kwa chadema ni makubwa mno,pengine ndo maana kaamua kukacha.

Kikubwa kama hatumii,vijana wake wa kitengo cha habari ni juu yao kuwaelimisha kwanza watu kuhusu ukweli wa vipimo hivyo,
kwamba kuna uwezekano wa kubambikwa majibu fake
Kumkamata Mbowe rahisi sana.. Ata manji alikana kutumia wakamfungia ndani siku tatu arosto ikamshika yeye mwenyewe aliomba poo.. Kwahyo ata huyo mbowe akienda kufanya cleansing bado kuna njia ya kumkamata.. Kumfungia ndani tu ni test tosha...
 
Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.
Anamuogopa mkemia mkuu,kama yeye so drug addict, ajitokeze basi.
 
Utaratibu upoje kumuita mtuhumiwa
Polisi huweza kumuita MTU kwa namna yeyote ile au wanaweza wakaamua kumkamata.Police hawatumii summons Bali wanatumia pia arrest warranty kwa MTU akiyekimbia ama hajurikani alipo.
 
bora na itumike njia hii.
Ila nimemsikia Majaliwa akisisitiza police wafate taratibu na sheria za nchi na so kufuata mihemuko[emoji90] [emoji196]
 
Detection time after last use ya cocaine au opium iwe test ya mkojo ama damu ni kuanzia masaa 5 hadi masaa 24,

bangi ndo inastick sana mwilini hata wiki bado kutakuwa na trace,

sasa hata kama mbowe anatumia cocaine sioni logic ajifiche mwezi mzima,wakati usipotumia madawa wiki moja ukija kupima itasoma negative,

unless labda mbowe anaogopa kupewa false test results kwa nia ya kumuua kisiasa.

Na ukweli ni kuwa atakapopimwa awe kweli mtumiaji au si mtumiaji ila wakaamua tu kusema amekutwa positive,madhara kisiasa kwa chadema ni makubwa mno,pengine ndo maana kaamua kukacha.

Kikubwa kama hatumii,vijana wake wa kitengo cha habari ni juu yao kuwaelimisha kwanza watu kuhusu ukweli wa vipimo hivyo,
kwamba kuna uwezekano wa kubambikwa majibu fake

Hizo ni dhana mtu kama Mbowe lazima awe na daktari wake na mwana sheria wake na inakubaliwa kabisa kisheria kuhusu vipimo na matibabu kumshirikisha daktari wako kama hutokua na imani na hawo wanao kufanyia vipimo au matibabu hayo
And Mbowe is a golden fish have no hiding place
But always transgressors are afraid
 
Kilicho ndani ya kichwa cha mwenzako kujua vigumu.mbowe si mtoto mdogo.
 
Umejuaje kama kajificha? Kumbukumbu zangu zinaonyesha alisema hatakwenda hadi utaratibu wa kumuita ufuatwe, je tayari utaratibu umeshafuatwa?
Kwani RPC na KUB kimadaraka nani mkubwa? Na kama ni suala la kumkamata in askari wa rank gani anatakiwa kufanya hiyo kazi?
Hili suala litazua mgogoro wa kikatiba mbeleni kwani wanaomhitaji sioni kama wana mamlaka hayo kiitifaki na kisheria. Naomba mwongozo wa kiitifaki na kikatiba kwani Mbowe na Majaliwa wakiwa bungeni wote wana hadhi zinazolingana. Kwa nje ya binge hadhi hizi haziendelei?
 
Huyo Magu ndo anaweza kuongeza mshahara wa madaktari kwa asilimia 300?!
ukisema ukweli unatukanwa! jf ni kubadilisha mawazo.mero mnamsababisha.mnashindwa hata kuandika majina yenu mnaandika majina feki.inawezekana ni wale wanaotafutwa na makonda.
 
Kwani RPC na KUB kimadaraka nani mkubwa? Na kama ni suala la kumkamata in askari wa rank gani anatakiwa kufanya hiyo kazi?
Hili suala litazua mgogoro wa kikatiba mbeleni kwani wanaomhitaji sioni kama wana mamlaka hayo kiitifaki na kisheria. Naomba mwongozo wa kiitifaki na kikatiba kwani Mbowe na Majaliwa wakiwa bungeni wote wana hadhi zinazolingana. Kwa nje ya binge hadhi hizi haziendelei?
Mbowe anaweza kukamatwa hata na askari wa cheo cha constable, ila Lowasa anaweza kukamatwa na askari wa kuanzia nyota 2 kwa maelekezo ya mkuu wake.
 
Back
Top Bottom