Hivi ni kwanini MH Freeman Aikaeli Mbowe amejificha?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.
 
Bora hata anayebwia poda anayeathirika mwenyewe huko, kulikoni kuwa na wenye makontena ya meno ya tembo athari zake ni kwa taifa,

Mbowe kesho atakuwa central. Tu ni kwamba kiongozi wa ngazi ya mkoa anapomwita kiongozi wa ngazi ya taifa kwa kumdhalilisha haifai na haikubaliki.
 
Mkubwa nini maana ya kujificha?
Umepata uhakika wapi kuwa amejificha?
Soma sheria ujifunze mtu au mtuhumiwa anaitwaje kwa utaratibu upi
Rejea kumbukumbu zako ulizonazo kuwa Mbowe aliitwaje
Pia rejea kumbukumbu mbowe alisemaje siku Makonda ametangaza anamuhitaji akaonane nae polisi.
Pia ujifunze utawala wa sheria nini maana yake unaweza kupata la kusema.
Nashukuru Mungu waziri mkuu alikataza mtu kutajwa kama hakuna ushaidi wa kutosha. Alijifunza kitu maana kilichokuwa kinakuja mbele ni historia
 
Bora hata anayebwia poda anayeathirika mwenyewe huko, kulikoni kuwa na wenye makontena ya meno ya tembo athari zake ni kwa taifa,

Mbowe kesho atakuwa central. Tu ni kwamba kiongozi wa ngazi ya mkoa anapomwita kiongozi wa ngazi ya taifa kwa kumdhalilisha haifai na haikubaliki.
Mkuu kwa hiyo akienda central kesho hatakuwa ameitwa na RC au hatakuwa amedhalilishwa?
 
Mijadala mbali mbali inaendelea hapana nchini kuhusiana na mwenyekiti wetu wa CDM kukimbia na kujificha licha ya jeshi la polisi kutangaza aende akaripoti central police DAR bado hajaenda.
Je tuamini kwamba Mhe.Mbowe anahusika moja kwa moja na tuhuma hiyo?
Kama hahusiki je kwanini basi ajifiche?
Je kaenda kufanya blood transfusion ili asomeke negative kwa kuwa pengine ni mtumiaji wa poda?
Je kuna madhara gani kama chama kikiwa na mwenyekiti anayetumia PODA?
KARIBUNI TUSHIRIKISHANA KATIKA VITA YA KUTOKOMEZA ABUSIVE DRUGS NCHINI MWETU.

Rais kenyata wa kenya unamfahamu?anaongoza nchi kwa ufanisi wa hali ya juu
 
Hakutarajia yalio mpata Manji hata Manji alifikiria upekuzi unafanyika majumbani tu ndio maana akawa na jeuri ya kuita vyombo vya habari, Mbowe alipoona kumbe search inafanyika na mwilini pia akalala mbele, Blood transfusion as soon as possible 2save Drugs hurricane towards CHADEMA.
 
Detection time after last use ya cocaine au opium iwe test ya mkojo ama damu ni kuanzia masaa 5 hadi masaa 24,

bangi ndo inastick sana mwilini hata wiki bado kutakuwa na trace,

sasa hata kama mbowe anatumia cocaine sioni logic ajifiche mwezi mzima,wakati usipotumia madawa wiki moja ukija kupima itasoma negative,

unless labda mbowe anaogopa kupewa false test results kwa nia ya kumuua kisiasa.

Na ukweli ni kuwa atakapopimwa awe kweli mtumiaji au si mtumiaji ila wakaamua tu kusema amekutwa positive,madhara kisiasa kwa chadema ni makubwa mno,pengine ndo maana kaamua kukacha.

Kikubwa kama hatumii,vijana wake wa kitengo cha habari ni juu yao kuwaelimisha kwanza watu kuhusu ukweli wa vipimo hivyo,
kwamba kuna uwezekano wa kubambikwa majibu fake
 
Umejuaje kama kajificha? Kumbukumbu zangu zinaonyesha alisema hatakwenda hadi utaratibu wa kumuita ufuatwe, je tayari utaratibu umeshafuatwa?
 
Back
Top Bottom