Hivi ni kwanini kuna watu kila jambo la maendeleo linalofanywa na Serikali wanachukia?

Wakuu nashindwa kujua shida ni nini.Maana Mh Rais alisema maendeleo hayana vyama sasa kulikoni kila jambo la maendeleo ambalo Serikali inafanya kuna baadhi ya watu wanakasirika na kuombea kabisa hayo mambo yasifanikiwe.

Inajengwa reli ya kisasa ya SGR kuna kuna watu wanaomba mradi usiishe mapema,mradi wa kisasa wa umeme na mengine mengi tu.

Hivi juzi juzi pia serikali imetoa Ajira 1000 za madaktari na pia wameahidi kuajiri walimu lakini ukifatitilia kiundani kuna watu kama hawapendi au wanaumia kuona haya mambo mazuri yakifanyika.Shida ni nini Wakuu?

Ahadi ni Vitendo!

Awamu ya tano,Hapa kazi tu!
JPM kazini!
Nawasilisha!!!
Pasingekua na korona hao madokta wangeajiriwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishangae ndo maana ya utawala na upinzani.

Pande zote zikubaliane, watawala jukumu lao ni kuleta Maendeleo kwa WANANCHI.

Upinzani kazi yao ni kuhakikisha ni kweli hayo Maendeleo WANANCHI wamepata.

Watawala ni jukumu lao kujibu hoja, zinazozalishwa na upinzani juu ya hao Maendeleo yanayosimamiwa.

Kukasirika kukosolewa maana yake hutaki demokrasia ya vyama vingi.

Ni ajabu kukataa ukweli, Mabadiliko ya utendaji wa Serikali yametokana na ukali wa wapinzanj. Umakini wa kuendeleza miradi na ubunifu umetokana na uimara wa upinzani.

Kupongeza uhodari wa ulinzi lazima tusifu pia safu ya ushambuliaji ya adui.

Maoni yangu binafsi, Mh Maghufuli ni kocha Bora aliyejifunza mengi toka kwa Makocha waliomtangulia .

Kajifunza mengi mbinu za adui ( upinzani) katika kukosoa serikali yy afanye nn kuzuia udhaifu wote na kusimamia vyema jukumu la Maendeleo kwa WANANCHI.

Jukumu kubwa katika utawala wake ni kuwataka wasomi watoe usomi wao katika kuleta Maendeleo ndo maana serikali yake imejaa wasomi.

Siri kubwa ni uzalendo Kwanza.
 
Hostel mbovu, bomba limekwama, SGR inaangamia, Mikopo vyuo vikuu kapunguza, Elimu bure watoto wanakaa chini tena secondary.

Angalia alivyotesa wakulima wa korosho na mbaazi

Pesa yote kawekeza kwenye kuua, kuteka, kununua wapinzani, kuhujumu vyombo vya habari na kuwapa kesi za uhujumu uchumi watu wasiokubaliana naye

Utapendaje mambo yake mtu kama uyo labda uwe punguani.
Not true! watu wazima tunajua kabisa kwamba miaka 10 ya Kikwete watoto walikaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7. Tunajua enzi za Kikwete bei ya juu ya kilo moja ya korosho ilifikia shilingi mia 8 tu, alipokuja Magufuli ndo ikafikia elfu 3! Kununuliwa wapinzani unamlaumu yeye! Walaumu hao wapinzani kama una hakika wananunuliwa. Kwa nini wanunuliwe? Lowasa alinunuliwa na CDM? Nyarandu? Sumaye? Ujinga wa upinzani walidhani wao wana kipaji cha kuhamisha wafuasi wa CCM, sasa wao 'walipohamwa' wakaanza kulia kijinga-jinga!

Hayo mambo ya kesi, huna haja ya hisia. Nani kasingiziwa na ulipofuatilia ukaona kweli kasingiziwa au unaendelea kusema watu. Watu ni akina nani? taja majina.
Tunawajua wapuuzi waliosifiwa hata humu JF eti wako 'smart' kwa vigezo ambavyo niliona sasa tulikuwa na moral degradation. Mtu anasifiwa kuwa smart kwa sababu ya wizi na kukwepa adhabu! Ngoja wanyooshwe hatuwezi kufikia hatua hata rais anasifia na kubariki wizi kwenye jukwaa. Pesa za escrow siyo za serikali! Nchi gani pesa zinabebwa kwenye viroba toka benki kwa madaha kabisa!
 
Usishangae ndo maana ya utawala na upinzani.

Pande zote zikubaliane, watawala jukumu lao ni kuleta Maendeleo kwa WANANCHI.

Upinzani kazi yao ni kuhakikisha ni kweli hayo Maendeleo WANANCHI wamepata.

Watawala ni jukumu lao kujibu hoja, zinazozalishwa na upinzani juu ya hao Maendeleo yanayosimamiwa.

Kukasirika kukosolewa maana yake hutaki demokrasia ya vyama vingi.

Ni ajabu kukataa ukweli, Mabadiliko ya utendaji wa Serikali yametokana na ukali wa wapinzanj. Umakini wa kuendeleza miradi na ubunifu umetokana na uimara wa upinzani.

Kupongeza uhodari wa ulinzi lazima tusifu pia safu ya ushambuliaji ya adui.

Maoni yangu binafsi, Mh Maghufuli ni kocha Bora aliyejifunza mengi toka kwa Makocha waliomtangulia .

Kajifunza mengi mbinu za adui ( upinzani) katika kukosoa serikali yy afanye nn kuzuia udhaifu wote na kusimamia vyema jukumu la Maendeleo kwa WANANCHI.

Jukumu kubwa katika utawala wake ni kuwataka wasomi watoe usomi wao katika kuleta Maendeleo ndo maana serikali yake imejaa wasomi.

Siri kubwa ni uzalendo Kwanza.
Ni kweli lakini hawa wenzetu humu mitandaoni wamekuwa watu wa kupiga sana kelele kuponda kila kitu yani me naumia sana ki ukweli.
 
Hao wanaopinga ni mapandikizi ya mabeberu na sio wengi kiivyo ila wako wamepandikizwa na mabeberu kila mmoja unakuta ana majina tofautitofauti kama 20 au 30 na wanalipwa kwa kupinga juhudi za Rais za miradi ya maendeleo
 
Let me give out my opinion like this....

1.siasa nyingi za kipinzani kwa africa zimekaa kupinga chama tawala,au mtawala aliyepo,hata bila sababu ya msingi.
Hutasikia mpinzani anampongeza mtawala juu ya jambo fulan jema.
2.iman potofu kwamba upinzani ndio chama bora cha kuleta mabadriko yaliyokosekana.
Kitu ambacho si kwel.

3.watawala wenyewe,chama tawala kuwafanya wapinzan kama mbwa koko,kuwapinga kila jambo na kuwasurubisha.hatimaye wapinzani kuamua kupinga kila jambo maana wana banwa mno,kama jera wao,mikutano kukatazwa wao!

So bora wapinge kila kitu..yaan watoto wa mjin wanasema kama mbwai na iwe mbwai!!
Nikiangalia vyama tawala vya upinzani TZ vinasumbuliwa na ubora. Kuna watu ambao hata wakikosea, unawapa msamaha kwa kutojua. Chama tawala kikikosea tuna haki ya kuwahukumu kwa uzembe.
CCM imeishi miaka 50, haikustahili kuwa na mbunge wa darasa la 7 au mkiti wa mkoa form 4. Huu ni uzembe wa kudekeza kwamba kila mtu ashiriki utawala. Wengine wanastahili kutawaliwa tu!
 
Wakuu nashindwa kujua shida ni nini.Maana Mh Rais alisema maendeleo hayana vyama sasa kulikoni kila jambo la maendeleo ambalo Serikali inafanya kuna baadhi ya watu wanakasirika na kuombea kabisa hayo mambo yasifanikiwe.

Inajengwa reli ya kisasa ya SGR kuna kuna watu wanaomba mradi usiishe mapema,mradi wa kisasa wa umeme na mengine mengi tu.

Hivi juzi juzi pia serikali imetoa Ajira 1000 za madaktari na pia wameahidi kuajiri walimu lakini ukifatitilia kiundani kuna watu kama hawapendi au wanaumia kuona haya mambo mazuri yakifanyika.Shida ni nini Wakuu?

Ahadi ni Vitendo!

Awamu ya tano,Hapa kazi tu!
JPM kazini!
Nawasilisha!!!
Hao wanaopinga ni mapandikizi ya mabeberu na sio wengi kiivyo ila wako wamepandikizwa na mabeberu kila mmoja unakuta ana majina tofautitofauti kama 20 au 30 na wanalipwa kwa kupinga juhudi za Rais za miradi ya maendeleo
 
Not true! watu wazima tunajua kabisa kwamba miaka 10 ya Kikwete watoto walikaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7. Tunajua enzi za Kikwete bei ya juu ya kilo moja ya korosho ilifikia shilingi mia 8 tu, alipokuja Magufuli ndo ikafikia elfu 3! Kununuliwa wapinzani unamlaumu yeye! Walaumu hao wapimnzani kama una hakika wananunuliwa. Kwa nini wanunuliwe? Lowasa alinunuliwa na CDM? Nyarandu? Sumaye? Ujinga wa upinzani walidahi wao wana kipaji cha kuhamisha wafuasi wa CCM, sasa wao 'walipohamwa' wakaanza kulia kijinga-jinga!

Hayo mambo ya kesi, huna haja ya hisia. Nani kasingiziwa na ulipofuatilia ukaona kweli kasingiziwa au umaendelea kusema watu. Watu ni akina nani? taja majina.
Tunawajua wapuuzi waliosifiwa hata humu JF eti wako 'smart' kwa vigezo ambavyo niliona sasa tulikuwa na moral degradation. Mtu anasifiwa kuwa smart kwa sababu ya wizi na kukwepa adhabu! Ngoja wanyooshwe hatuwezi kufikia hatua hata rais anasifia na kubariki wizi kwenye jukwaa. Pesa za escrow siyo za serikali! Nchi gani pesa zinabebwa kwenye viroba toka benki kwa madaha kabisa!

Hatua gani huyu kachukua kwa waliochota pesa za Escrow na mahaka ya ufisadi ilikuwepo?
 
Back
Top Bottom