Hivi ni kwanini jamani?

Hivi ni kwanini jamani?

Mh.. Passion, u never know. Kwani tulijua kuwa itatengenezwa dawa ya kuongeza makalio? Usije ukashangaa unaambiwa kunadawa ya kunywa ili uwe mweusi. Binadamu kila siku anapanga mbinu za kumkosoa Mungu kwa matakwa yao binafsi.

heheheee!ukizidisha kipimo unakua
mweusi kama ubao lol!bora nibaki nilivyo!

hahahaa! Na ukisema upake tena mkorogo kwenye ublack wakufoji unadunda sasa hapo ndio utajua ujibebe na mbeleko gani.

umeona eeee
bora nibaki nilivyo
cha kugeuka kichekesho mbele za watu
akhaaa!

umeona eeee
bora nibaki nilivyo
cha kugeuka kichekesho mbele za watu
akhaaa!

tena wala ucjaribu mwenzangu.. Coz ukimkuta aliyejikoboa haswaa wananuka nguruwe hao kama mzungu aliyechomwa na jua (wazungu mtanisamehe kama mpo humu)
 
hahaaa!kama vampire kazini
 
kwanini wanaume wanabeba vyuma kutunisha misuli?
kwanini wanawake wanarelax nywele na kuzifanya straight
Ukijibu hapo ndio tuongee vya mkorogo maana ni yale yale
 
kwanini wanaume wanabeba vyuma kutunisha misuli?

Wanaume wanabeba vyuma ili kujenga misuli. Kujenga misuli kuna faida nyingi.

Moja ya faida ni afya bora kwa ujumla.

Ukibeba vyuma vizuri unajisikia vizuri na mwili unajengeka vizuri.

Mwili ukijengeka vizuri muonekano wako unaboreka na nguo zinakukaa vizuri .

Nguo zikikukaa vizuri unapendeza. Ukipendeza unajisikia raha na furaha. Ukiwa na raha na furaha unajithamini zaidi.

Pia, ukijenga misuli nguvu nazo zinaongekeza. Nguvu zikiongezeka ustahmilivu (endurance) nao unaongezeka.

Zaidi, misuli iliyojengeka vizuri inapunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa osteoporosis.
 
Wanaume wanabeba vyuma ili kujenga misuli. Kujenga misuli kuna faida nyingi.

Moja ya faida ni afya bora kwa ujumla.

Ukibeba vyuma vizuri unajisikia vizuri.

Mwili unajengeka vizuri. Mwili ukijengeka muonekano wako unaboreka na nguo zinakukaa vizuri .

Nguo zikikukaa vizuri unapendeza. Ukipendeza unajisikia raha na furaha. Ukiwa na raha na furaha unajithamini zaidi.

Pia, ukijenga misuli nguvu nazo zinaongekeza. Nguvu zikiongezeka ustahmilivu (endurance) nao unaongezeka.

Zaidi, misuli iliyojengeka vizuri inapunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa osteoporosis.
Asante sana kwa majibu yako. Hapo nimesoma sababu tatu kubwa:
1. Kuna sababu za kiafya in general
2. Kuna sababu za aesthetics
3. Kuna sababu za self confidence na feeling good.
Basi na hao wanao badili rangi zao, at least kuna sababu 2:
hiyo ya aesthetic na confidence, na sio rahisi kubishana on them.
 
3. Kuna sababu za self confidence na feeling good.

Weight training ina boost sana self-esteem, confidence, can-do spirit, etc.

Pia inaboresha athletic performance. Moja ya sababu kubwa wanamichezo wetu hawafanyi vizuri kwenye mashindano mengi ya kimataifa ni kwa sababu ya ulegelege. Hawana nguvu kabisa.

Angalia tu hata kwenye Olympics. Marekani mara nyingi ndiyo huongoza katika kunyakua idadi kubwa ya medali. Iwe kwenye basketball, track and field, wrestling, weightlifting, boxing, judo, etc.

Hii yote ni kwa sababu huwa inapeleka wanamichezo waliojiandaa kweli kweli. Wengi wao huwa wanatokea college. College karibu zote Marekani zina gyms zenye weight room.

Practice regimen nyingi huhusisha weight training. Angalia mtu kama LeBron James au wale Williams sisters kwenye tennis. Zile ni physiques ambazo ni matokeo ya ku-spend some time kwenye weight room.

Hata Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo ilibidi a-adapt alipokuwa Georgetown la sivyo asingefika mbali.
 
It makes sense. Mtu utakuaje na nguvu if you don't maintain the engine?
BTT: wanawake wenye rangi kama yangu ambao wanaona rangi nyeupe ni bora
wanajiskia hovyo wakijiangalia. they feel prettier when they bleach up kidogo
Na kuna ambao kweli wanapendeza zaidi, though wengine not necessarily.
 
siyokujickia ovyo tu.. Wengine ni tamaa tu zimewajaa akiona flan ana colour yake white anapendeza basi na yeye atataka afananenaye hadi ukucha. Mfano, wolper kutaka kuwa kama amber rose
 
Attachments

  • Wolper1.jpg
    Wolper1.jpg
    28.3 KB · Views: 67
  • 18476_AmberRoseMaxim.jpg
    18476_AmberRoseMaxim.jpg
    853.1 KB · Views: 50
siyokujickia ovyo tu.. Wengine ni tamaa tu zimewajaa akiona flan ana colour yake white anapendeza basi na yeye atataka afananenaye hadi ukucha. Mfano, wolper kutaka kuwa kama amber rose
Kwenye hii picha Wolper anaonekana rangi yake ni ile ile mwili mzima
Unfortunately we can't say the same of Amber Rose, foundation fake
Hili la wasanii kujifananisha na mastar wa ughaibuni ni low self esteem tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom