Hivi ni kwanini mtu anaamua kubadilisha rangi yake ya asili? Utakuta mtu amezaliwa mweusi tu bt akishafikia ile stage ya u sister du na usharobaro ghafla utamkuta amesha change colour ya mwili wake na kuwa white wengine ni mimama mijitu mizima utakuta imejichubua hata kuiangalia haifai.
Nataka kujua kama kuna sababu muhimu mpaka kupelekea mtu kuaribu rangi yake ya asili?
Nataka kujua kama kuna sababu muhimu mpaka kupelekea mtu kuaribu rangi yake ya asili?