James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa?
Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.