Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya?

Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya?

Jamani za leo bandugu,

Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya nimechoka.

Sikiliza vizuri; amua kuwa malaya KWAKE sana tu, tena malaya hasa kama ni kuvaa kihasarahasa umfanyie yeye tu, umpe mambo yote. BASI.
 
Mpe oko dawa ya majimaji huziba dushe kabisa kama lina pancha.
 
Hiyo ni kawaida ya wanaume... sema wako hajui kujificha... dawa ni kutoput trust kwa mwanaume yeyote... utaishi kwa amani...
 
Akijifanya bingwa wa michepuko aende tu mie atanikuta nalea watoto,sijitegui nyonga kwa kumuendekeza mtu mwenye pepo la michepuko!!!

comment zako zinaonyesha wewe muoga sana wa mikuyati
 
Sikiliza vizuri; amua kuwa malaya KWAKE sana tu, tena malaya hasa kama ni kuvaa kihasarahasa umfanyie yeye tu, umpe mambo yote. BASI.

Unadhani wanaotoka ni ukame ulioko ndani best?
Ni tabia tu ya mtu,kama akiwa BAZAZI by nature umeumia!!!!
 
Kumuombea na kumpa macho huku ukijaribu kutafuta kinachomtoa nje ili ujirekebishe kama hajaamua mwenyewe kuacha atachepuka tu ipo cku atachoka mwwnyewe
 
Kama na wewe unalipa lakini,tafuta mchepuko wako ujiachie maisha ynyewe haya mafupi hehehe
 
dawa ni wewe tu mwenyewe na umalaya wake utaisha...nipm nkusaidie kwa hilo
 
Threesome....tafuta mwanamke anaeyaweza mumvamie kitandani for a threesome..hatarudia tena
Uzoefu unaonyesha wanaume wanahamiaga kwa huyo mtu wa tatu baada ya kuhalalishiwa na mke au mpenzi. Hapo kuna mawili kujenga au kubomoa kabsaaaa hiyo ndoa/mahusiano.
 
Sikiliza vizuri; amua kuwa malaya KWAKE sana tu, tena malaya hasa kama ni kuvaa kihasarahasa umfanyie yeye tu, umpe mambo yote. BASI.
Nilishayafanya hayo yote ndugu, na nimempa mambo yote ila...T-g- big NO.
 
Wewe husikii? Kila thread unaandika ujinga, unajaza server kwa upuuzi wako!

loading error......hongera mkuu kwa kuwa na akili nyingi na ukatunukiwa gold member,na kushinda hum jf na kuacha kufanya kazi,na kuukaribisha umasikini anyway labda una gawio kila mwezi unapewa hongera sana mkuuu.ongeza juhudi.
......loading error.........................................................loading error.........................................
 
Back
Top Bottom