Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya?

Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya?

dah namshukuru mungu sijawahi pata mwanaume malaya mpaka nakaribia ndoa kama walikua nayo ni kamcheepuko kamoko japo ilikuwa ni tiketi yangu ya kuaga mashindano

ila kama umeolewa usimuache mumeo daima banana mpaka kieleweke
 
Some things are very simple, yet seemingly very complex.
 
Jamani za leo bandugu,

Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya...nimechoka mmmmmmhhhh.

Mpe mambo daily itamchosha hta hamu ya kuhangaika mtaani itapungua yaani iwe lazima uhakikishe unammaliza hamu each moment unapofanya nae
 
Dawa ya mwanaume malaya ni kumpa gegedo kila baada ya masaa matatu mpaka unahakikisha anamwaga povu...... akirudi tuu nyumbani unamtega halafu unamchombeza mpaka akugegede na unajituma mtoto wa kike, unahakikisha mnaenda round za kutosha kiasi kwamba gegedo lake liko doro na unalitest kabisa. Asubuhi kabla ya kuoga unamchombeza tena na unajituma mtoto wa kike unahakikisha kakupa ki.tombo cha nguvu na unalitest gegedo lake tena kwa kuflow na mike na kuhakikisha liko doro. Pia ukiweza kuwa unamuibukia ofisini kama ana ofisi ya peke yake yenye privacy ya kutosha unaomba a quickie tena(kwa vitendo).
usikubali hata siku moja kulala bila kupewa ki.tombo ni kosa kubwa sana wanawake walio kwenye ndoa huwa wanalifanya. Pia hakikisha mkiamka asubuhi unapewa dozi.
Tatizo wanawake wa siku hizi ubunifu F, unasubiri uombwe wewe kila siku; na ukiombwa kila siku unalalama.... hapo lazima mwanaume afanye umalaya

Kiruuu....:what:
 
mpe arizike,halafu usimpe chansi akitoka out upo nae,mda wa kutoka kazinini tinga offisin mguu wake mguu wako.ukishindwa ni PM nikushauri zaidi.
 
mpe arizike,halafu usimpe chansi akitoka out upo nae,mda wa kutoka kazinini tinga offisin mguu wake mguu wako.ukishindwa ni PM nikushauri zaidi.

Kazi ipo!!!
Nitafata mtoto shule,sio kulifata kazini jitu zima tulilokutana kinywa kimejaa meno!!
Pilika za maisha zinatosha sana,hizo za nyongeza ziniepuke tu!!
Utamfata jioni akitoka kazini kumbe mwenzio aliitumia lunch hour effectively,anakung'ong'a tu unavyojichosha.
 
Pole! Vumilia tu huku ukiwa unajaribu kumbadilisha. Najua kumuacha uwezi sababu mwanaume malaya au mwanamke malaya sifa zao kubwa wanajua sana mapenzi.
 
Dawa ni kumpatia hicho anachokifuata huko ambacho wewe humpatii,vinginevyo mkate kikojoleo,akiwa malaya tena njoo utuambie
 
Back
Top Bottom