Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
Inawezekana moyo wake haupo kwako unalazimisha king.
Mchape limbwata
Jamani za leo bandugu,
Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya...nimechoka mmmmmmhhhh.
kama ulimpa nafasi ya kuondoka mbona bado una lalamika kwamba ni malaya?Nilishampa nafasi ya kuondoka,ila hataki na habadiliki.