Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Profesa Maji Marefu, Nursery School Ushotto
Lusinde Kudadadadeki, STD 1V Mtera Kata school
Kapt John Komba, Certificate of Nursery school, Mbinga. Diploma in Shot Klia, shot Klia..... Hima!, JWTZ; International certificate in Mgeniii, Mgeni huyu balaaaa..... TOT Taarab and Choir.

Sijui niendelee?
 
Nijuavyo elimu haipatikani darasani tu, kuna wasomi waliobobea lakini ni bure kabisa. Kuna michango na mawazo ambayo hutolewa na wenye shahada za elimu Bungeni hadi nashangaa.
Juzi juzi alipokamatwa Sheikh Ponda, msomi mmoja mbobevu na mwanasiasa, alinishangaza sana kwa maoni aliyoyatoa.

Twende mbele turud nyuma Elimu ni yamuhimu sana katika harakati za kumkwamua mwanadamu. Obama kwa kulifahamu hilo alihakikisha wanafunzi na wana vyuo wote wa Marekani wanapata mikopo nafuu ili waweae kulisukuma taifa mbele. Nashangaa mwanasiasa mkongwe kama Shibuda ameshindwaje kuona umuhimu wakujiendeleza miaka yote hiyooo
 
Mkuu hapo kwenye red kama hujui afadhali uulize

Narudia kusema tena Wenje hajawahi kusoma ST Augustine...wewe hunajua kama Wenje alikuwa mwalimu tu wa kawaida pale Mwanza Thaqafa Sec. Uzuri JF sio sehemu ya majungu wala porojo weka CV ya Wenje tuone lini alisoma hicho chuo.
 
Ccm inaongozwa na wasomi kweli kweli tokea miaka 560 lakini. Hele zetu ziko new jersey na uswisi! Hizo ndiyo cv zako
 
Narudia kusema tena Wenje hajawahi kusoma ST Augustine...wewe hunajua kama Wenje alikuwa mwalimu tu wa kawaida pale Mwanza Thaqafa Sec. Uzuri JF sio sehemu ya majungu wala porojo weka CV ya Wenje tuone lini alisoma hicho chuo.

Acha ubishi wa ajabu,Wenje ana Diploma ya ualimu na shahada (BBA)kutoka SAUT
 
Jamani tusitetee ujinga kwa vile wanaoguswa tunawashabikia. Mambo ya elimu haipatikani darasani US iliongozwa na marais wasio na diploma yamepitwa na wakati. Elimu ni muhimu tutake tusitake. Hivi nani yuko tayari kwa mfano kuongozwa na rais asiyejua kusoma na kuandika katika karne ya 21? Sasa mnatetea nini hapa? Angekuwa ameandikwa Salma Kikwete kama kihiyo hapa kila mmoja angehanikiza kumtaka asome. Mie nadhani wabunge wa CDM ambao Resumes zao haziko safi wanapaswa kwenda shule. Bila kusoma watapitwa na wakati. Mfano Mbowe aliwahi kuwa admitted Hull University. Je ni kwanini hakumaliza masomo yake? Alifeli, alikuwa na udhuru?

bora ujiite FATHER OF NONE. You're not my father!
 
Bandika ya MAGAMBA ukianza na ya LUKUVI...... halafu fuatisha ya DOKTA MTUKUFU JK

Born on 7th October 1950 at Msoga, Bagamoyo District, Coast Region, sixth born in the family of nine children. He is married to Mama Salma Kikwete and blessed with eight children
CAREER BACKGROUND
1995-2005Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
1995-2005Member of Parliament for Chalinze Constituency
1994-1995 Minister for Finance
1990-1995 Member of Parliament for Bagamoyo Constituency
1990-1994 Minister for Energy, Minerals and Water Development
1988-1990Deputy Minister for Energy and Minerals
1986-1988 Nachingwea and Masasi Districts (CCM) Secretary General
1983-1986 Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli
1981-1983 Tabora CCM Regional Secretary
1980-1981Administrative officer CCM Headquarters
1977-1980 Deputy Secretary of CCM, Zanzibar
1976-1977Singida Regional Secretary of TANU
1975-1976Deputy Regional Secretary of Tanganyika African National Union (TANU) in Singida

EDUCATION
Feb. 2010 Honorary Doctoral Degree in International Relations from the University of Fatih, Istanbul, TurkeyDec.
2008 Honorary Doctoral Degree in Humane Letters from the University of Kenyatta, Nairobi, KenyaSep.
2006 Honorary Doctoral Degree in Law from St. Thomas University of Minneapolis, Minesotta, USA

1983-1984Military Leadership Training
1976-1977 Military Training at Tanzania Military Academy (TMA) at Monduli
1972-1975 B.A (Economics) University of Dar es Salaam
1970-1971 Tanga Secondary School
1966-1969 Kibaha Secondary School
1962-1965 Lugoba Middle School
1958-1961 Msoga Primary School

OTHER DISTINGUISHED POSTS HELD
July 2010Chairman of the African Leaders Malaria Alliance (ALMA) for 2010-2011
Jan 2010 Chairman of the East African Community (EAC)
2008Chairman of the African Union (AU)
2004 Co-Chair of the Helsinki Process on Globalisation and Democracy
2004 Chairman of the Council of Ministers of the Southern African Development Community (SADC) 1997Chairman of the Council of Ministers of the Organisation of African Unity (OAU)
1997 Chairman of the Council of Ministers of the East African Community (EAC).
1995Chairman of the Board of Governors of the East African Development Bank (EADB )
 
Kwani sifa za kupitshwa, kugombea, na hatimaye kuchaguliwa kuwa mbunge au Rais ni zipi? Ni zipi kati ya hizo ambazo wagombea wa Chadema hawakuwa nazo?

Si wanajaza mafomu kibao ya NEC na michakato mingi kufanywa na NEC kabla ya kupitishwa hawa? Hivyo basi, kama kuna wagombea waliopitishwa (na serikali chini ya NEC) kwa sifa ambazo ni batili basi hao waliowapitisha ni wa.pu.mba.vu kuliko hao waliopitishwa.

Je, unailamu serikali yako chini ya CCM kwamba ni serikali na chama cha wa.pu.mba.vu? Fikiria mara mbili mbili kabla ya kuposti hoja hapa.

Matusi hayana msaada cha msingi ungewashauri viongozi wako wa Chadema wajiendeleze kielimu dunia ya sasa inaitaji viongozi wasome.
 
Hapo kwa Mbowe mmemuonea,anayo degree aliochukua Makerere University,japo sijui ni degree ya nini,kama vipi tembelea profile yake ya facebook
 
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL

11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
kwa taarifa za uhakika huyu hajamaliza sekondari. Alikuwa Moshi Technical na kijana mpinga ngumu mzuri. Alikataa shule akiwa kidato cha pili/tatu na kwenda kufanya kazi General tyre. Kwa kifupi, John magale shibuda anacheti cha darasa la saba tu
 
Opulukwa ana masters ya mipango kutoka USA, Mdee ana masters ya Law, UDSM etc. Haukuwa makini wakati unayaandika haya. Jaribu ku-consult sources mbalimbali zitakusaidia kujua CV za wabunge vizuri.
 
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
kwa taarifa za uhakika huyu hajamaliza sekondari. Alikuwa Moshi Technical na kijana mpinga ngumu mzuri. Alikataa shule akiwa kidato cha pili/tatu na kwenda kufanya kazi General tyre. Kwa kifupi, John magale shibuda anacheti cha darasa la saba tu

Mkuu vipi Mbowe na Lema nasikia wamepita pale UDSM wote wana masters.
 
Alichaguliwa Prof. Muhongo asilimia karibu 90 walishangilia, leo mnawekewa elimu za CDMs mnang'aka, ila bila itikadi, sometimes CDM mnaboa sana, elimu kwa wana CDM bado ni mgogoro! Japo siipendi CCM, lakini sijaona utayari wa CDM kutafuta wasomi wajazwe kwenye nafasi nyingi za chama, hatutaki nchi itawaliwe na wakimbia shule, na huo ndo uweli!
 
Back
Top Bottom