Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

Mimi naomba namba ya huyo aliyekufundisha na ya kwako ili mnifundishe kwa pamoja maana nitaelewa vyema zaidi maana naishi mjini kama paka tuu nasubiria makombo.
 
naomba link ya uzi wa yule Mr. aliyekufunulia yote nami niusome kwanza
Dizain kama naamini dizaini kama nasita sijui kwa nini.
Muhimu simamia unacho kiamini ndo kitu pekee chenye upenyo wa mafanikio yako wala si kila kitu kinaweza kuku faa mkuu Kama una sita ujue si fursa ya kuku inua kwa upande wako.
 
Unahitaji vijana wangapi?

Atakayejiunga na wewe awe na minimum mtaji wa sh.ngapi?

Asiye na mtaji wala ujuzi upo tayari kumpokea na kumfundisha?
Inategemea utayari wake na mentality yake ikoje boss maana mtu anaweza kuja lakini mawazo yake yapo kutafuta ajira badala ya kufikiria namna ya kukuza project
 
Aisee huu uzi kwanini usiwekwe kule stories of change????
 
Boss mimi WhatsApp number yangu ni 0624857718, ni mtu ninayependa kujituma Kwa kweli nichek ikikupendeza tufanye kazi Kwa pamoja. Nimependa hiiโœŠ
 
Boss mimi WhatsApp number yangu ni 0624857718, ni mtu ninayependa kujituma Kwa kweli nichek ikikupendeza tufanye kazi Kwa pamoja. Nimependa hiiโœŠ
Kikubwa maelewano na makubaliano mazuri Katika kazi au aina ya chaguo lako la kufanya kazi kwa pamoja kwa malengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ