appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,932
- 3,250
- Thread starter
- #81
aisee una degree ya nini ! Ndio mkisomea tabia za wadudu na wanyama hata kundika kisomi hamjifunzi ......nimekiogopa chuo kilichokupa degree na unaandika sentensi ulizoandika!
nina degree ya law na nimesomea saut niliandika hii thread kwenye simu na mimi sijazoea kwani muda mwing natumia laptop yangu