hivi ndivyo nilivyoikosa bikra na sijutii.

hivi ndivyo nilivyoikosa bikra na sijutii.

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,915
Reaction score
3,227
miaka saba iliyopita nikikua katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye alikua bikra ilikua kama ifuatavyo.
Binti alikua wa kwanza kunitongoza pindi nilipoenda kwao sababu kaka yake alikua rafiki yangu baada ya kunitongoza nilimpotezea lakini aliendelea kunifuatilia mpaka nikamkumkubalia tukaanza mahusiano kiukweli hapo mwanzo alikua hana upinzani sema sikua na gheto na nikipanga siku fulani niwe nae may kwa kwenda gheto kwa marafiki tunapishana labda hana mda nk
kiukweli alionesha kunipenda yaani kuliliwa ilikua kawaida nikisimama na msichana hata kama wa rafiki yangu atakuja mbio na kusimama pembeni nikapata gheto kwa rafiki yangu tatizo likawa hapo geto jmosi na jpili wenye nyumba wanakuepo hivyo ni vigumu kusex
na siku zote anakua shule sasa juhudi zangu zikawa kumbebeleza atege shule tukategue bikra
mambo yote haya yalienda kama miezi 8 hiv
sasa kuna siku akamfuata rafiki yangu na kumwambia anaomba amfundishe maana anafundisha vizuri ni rafiki tu si yule mwenye geto sasa kila rafiki akipita kwao dem alikua anamshobokea mara mluzi wa busu nk
rafiki bila hiana akaja kunieleza kua dem shobo nikamwambia ngoja nikamsikilize then ntakupa jibu juu ya uamuzi wangu nikamfuata dem nikamueleza nini kinaendelea akasema nothing nikamwambia dont dare to lie 2 me
aliendea hivyo kuna siku alikua amekaa na rafiki zake mi nikiwa na rafiki yangu tukapita mara akakimbia mbio baadae nilipomuuliza hakuna jibu la maana so nikamwambia ok wewe na rafiki yangu endeleni usinifatilie wala tusijuane akajibu sawa
wakawa na mahusiano na rafiki yangu rafiki alikua ananiambia kila ki2 walienda hivyo kwa kama mwezi lakini dem nilimpenda sana na nilimpa special love hakuwai kua mpweke kama ikipita siku hajaniona atanipigia simu huku analalamika lakini rafiki alishindwa kufanya hivyo
dem akaanza kutanga anga kutafuta bwana kwani aliamini atapata tu bwana atakaempenda kama mimi ila kurudi kwangu alikua anaogopa au anahisi mimi nitamrudia kweli nilikua nafanya hivyo zamani akawa anashanga wiki mwezi miezi kimya
katika kutanga tanga kulikua na mjomba wake aliekua anakaa zamani huyu jamaa yupo tanapa na alishawahi kua bosi mkubwa tu pale maliasiri wizarani hapa karume kwa mbele hata kwenye harusi yake nyama zote zilikua ni za msituni
kifupi jamaa ana hela nzuri na gari zaidi ya nne nyumba na nk na ni malaya sana na mwmepesi kuhonga hapo
binti akawa analeta shobo wakawa kwenye mahusiano na kwa kua walikua wanalala nyumba moja haikua kazi kumtoa bikra akamtoa bikra akawa mpenzi wake kisha akaampa mimba na kufanikiwa kuitoa tangu alipoachana na hana m2 rasmi zaidi ya wale wa kupiga
akaanza kurudisha majeshi baada ya kuona future haioni na bikra hakuna alinimbembeleza sana nikamkatalia ila nikasema ngoja nipige si nikamkubalia kwa lengo la kupiga na kusepa loh alichosema anashukuru sana kwani bora nimerudi ninaemjulia akaja mazima simu kila saa usipopokea simu analia mmh nikiona isiwe tabu nikapotea ila hua anarudi na kuniita mpenzi direct kila mda but now kachuja sio mzuri kama mwanzo kawa kituko loh ilifika kipindi alikua ananiambia upo wapi nikufuate nikupe penzi wakati mwanzo alikua hataki mmh kuchuja kubaya
mwisho sijutii kabisa kwa uamuzi wa kuachana nae kweli mimi naona mbali na inteligence man kwani alivyoanza shobo kwa wa2 moja kwa moja nikajua kinachofuata mimba kama akiitoa na kupata matatizo mimi huenda nikausika au hata kubambikiwa na hicho ndicho kilichotokea hadi ndugu zake walijua kua ana mimba but waliogopa kumwambia shangazi yao hapo wakakaa kimya kusubuli la kutokea hv sasa yupo mtwara anasoma tpsc na ni anajiuza kwa vibabu ili apate pesa
hii ni true story na sijutii kujitoa katika huu msala
UFAFANUZI
WAWEZA KUTOA MAONI YAKO JUU YA HIKI NILICHOANDIKA KAMA NILIKUA SAHIHIN AMA NILIKOKOSEA .
 
I see, this is from class of 2012, huyu jamaa mwambie ajibu swali la fasihi andishi kutumia kitabu cha hiba ya wivu au ngoswe penzi kitovu cha uzembe lazima uchoke mwenyewe!
 
kaka ulifanya kitu cha maana sana hata mimi nilishawahi kumuacha demu yaani alikuwa mzuri sana ila shobo kwa wingi. Mwanaume lazima uwe na maamuzi maana itakuepusha na kulialia eti kisa mapenzi.
Ukiwa na mtu akaleta shobo unapiga chini
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi asilazimishwe kujiuzulu, Sasa naanza kuelewa kwa nini mlichora Zombi kwenye karatasi za mitihani. Yaahi Fasihi Andishi na Simulizi ni zero, ongeza na kutumia muda mwingi kumwaza Dem, utafaulu mtihani kweli weye ?
 
sielewi kitu ujue. . Sijui kuna watu wengine hawajui kuelezea kitu. . .
 
Hapa unaomba ushauri au? Mpaka umeandika hapa maelezo yote haya,nina uhakika unajutia.umeileta hapa ili tukupe moyo tu
 
nimeleta hapa ili nipate maoni wanasema no body is perfect lakini kwa hili mimi nahisi nipo sahihi kwa 100% naitaji chalenge za kunikosoa juu ya hili kama si kuachana nae am sure leo nisingekua chuo kikuu sababu kipindi nipo nae perfomance yangu ilishuka sana na kukonda nilikonda alikua pasua kichwa japo ndio alikua bikra kwa hiyo nilifanya maamuzi magumu na sahihi hivyo nimeleta kwenu kwa yeyote atakaeweza kunikosoa na anipe sababu kama nilikosea
 
nitukane kisha jenga hoja
Kutokana na Umri wako hii Topic inakufaa lakini hata hapo mwanza hakuwa na Bikra, tafuta nyingine zipo wewe achana nae kwani umemkuta na meno 32 na hutajua watakaompitia
 
Kutokana na Umri wako hii Topic inakufaa lakini hata hapo mwanza hakuwa na Bikra, tafuta nyingine zipo wewe achana nae kwani umemkuta na meno 32 na hutajua watakaompitia

pitia vizuri thread yangu alikua bikra na alitolewa bikra niliwahi kuingiza kidole kujua kama kuna bikra nikaikuta na alitolewa bikra na mjomba wake hakuwai kua na mwanaume before mimi aliwah kuchelewa kwao kurudi shangazi yake akamvua nguo zote na kumkagua bikra
 
nimeleta hapa ili nipate maoni wanasema no body is perfect lakini kwa hili mimi nahisi nipo sahihi kwa 100% naitaji chalenge za kunikosoa juu ya hili kama si kuachana nae am sure leo nisingekua chuo kikuu sababu kipindi nipo nae perfomance yangu ilishuka sana na kukonda nilikonda alikua pasua kichwa japo ndio alikua bikra kwa hiyo nilifanya maamuzi magumu na sahihi hivyo nimeleta kwenu kwa yeyote atakaeweza kunikosoa na anipe sababu kama nilikosea

We upo chuo kikuu gani? Maana unatia aibu sana level hiyo coz hata kujieleza huwezi, na unachoeleza ni upu.uzi tu!
 
Sijaona chochote kilichokupelekea kuwa na ujasiri wa kuandika tamthilia yako hapa! So unajisifu kwamba sasa huyo mwanamke anajiuza! Au ametoa mimba au anatangatanga! Mungu anapokuonesha tatizo hategemei uanze kwenda kubwabwaja mtaani ila kuwa solution.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
We upo chuo kikuu gani? Maana unatia aibu sana level hiyo coz hata kujieleza huwezi, na unachoeleza ni upu.uzi tu!

jamani mbona mnakua na mibichwa migumu hili sio swali wala siitaji ushauri hii ni habari au mkasa wangu na sijakulimit cha kujibu toa maoni yako au kaa kimya au uliza swali hio ni juu yako na sio lazima kuchangia ili u prove existance yako humu jf
 
Back
Top Bottom