MWENYEZI MUNGU ni mwema kila kitu kitakwenda salama.
Cha kwanza punguza jazba watu wanapokushauri shukuru hata kwa wao kuingia kutazama mawazo yako.
Nafahamu unajua ila napenda kukumbusha kuweka alama zote zinazotakiwa wakati wa kuandika kama kituo,comma,alama ya kuuliza fungua na funga semi na zingine zote zinazoitajika,hizi hufanya msomaji kujua hisia zako na wahusika wote ndani ya hadithi yako.
turudi kwenye stori yako.
mke mwema hatokani na bikra bali;
1; upendo ulionao kwake na alionao kwako
2; Baraka za MWENYEZI MUNGU
3; utii,unyenyekevu uzalendo na uaminifu ambao kila mmoja anao.
na mengine megi kama utakavyo elezwa na wenzangu
Aidha bikra si kipimo cha mke na si kipimo cha uaminifu,wapo wanawake wengi ambao si bikra ila ni waaminifu katika mahusiano,swalla la uaminifu ni tabia ya mtu mwenyewe. Ni vyema pia kufanya tathimini ya moyo wako wataka nini na si tofauti,heshimu hisia za mwenzako pia mtunzie siri,mambo ya chumbani usiyaweke hadharani hata kama wataka ushauri,kumwingizia kidole,kumnyonya na mengineyo ni ya faragha hayasemi hata mngekuwa kwenye kikao cha usuluwishi.
bikra haipimwi kwa kidole hata ukiendesha baiskeli hutoka pia.ucku mwema