Hivi ndivyo namna stori ilivyokuwa...

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,803
4,472
1596110099170.png
 
Ilishawahi kunitokea hiyo, kuna jamaa nilimwambia anipunguze nywele ila huku pembeni azidishe kidogo (sijui ile style inaitwaje) akaishia kuninyoa kiduku nilimind sana.
 
Ilishawahi kunitokea hiyo, kuna jamaa nilimwambia anipunguze nywele ila huku pembeni azidishe kidogo (sijui ile style inaitwaje) akaishia kuninyoa kiduku nilimind sana.
Hahahaha pole jamaa angu Wanaudhi sana hawa Vinyozi. Mtu style haiwezi anakukomalia
 
Nliwai enda saloon moja Arusha kunyoa ndevu syle ya "O"

Alichokinyoa, ilibidi TU ninunue Kiwembe nikwangue zote
 
Ila nnacho cheka zaid, ukiwa una toa maelekezo , majibu yao ni fasta sana, nimekuelewa BOSS. Kaa fasta
 
Kinyozi hajawahi shindwa kufanya kichwa cha mteja wake kuwa cha majaribio.

Wanasababisha sana watu kuvaa kofia bila kupenda hawa watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom