Hivi nawezaje kuweka vitu vyangu kwenye email yangu?

Huwezi labda uanzishe akaunti nyengine alafu ujitumie mwenyewe kutoka kwenye akaunti yako ya zamani kwenda kwenye akaunti yako mpya
 
Salamuu wakuu,

Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu

Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Kama una simu ya android na ume login na email yako ya Gmail automatic vitakua vimekaa.

Manual fanya hivi
1. Dowoad app ya photo ya Google kama haipo kwenye simu, download toka playstore, kisha fungua nenda setting chagua aina gani ya picha unataka ziseviwe.

2. Fungua app ya contact nenda setting kisha kwenye email sync contact zako.
 
Sawa mkuu ngoja Nijaribuu
 
Fuata maelekezo haya pia yatakusaidia mkuu
 
Google Account si ndio?

Tuanze na picha:

Kama unatumia simu ya Android, download App inaitwa Photos (ni ya Google) ila kama unatumia simu za Pixel utaikuta.

Fungua iyo App, ukiwa na Data au WiFi kisha bonyeza juu kulia alama ya Profile.
Screenshot_20240527-005622.png

Baada ya hapo, unabonyeza/utaruhusu backup. Nitaanza kuingia zenyewe kwenye Account yako.
 
Huwezi. Vitu vinawekwa stoo. Ama vitu vipi mkuu? :D (Jokes)

Tumia Google Drive. lipia storage ya kutosha hata telabite 1. Upload huko.
Google hukupa 15GB free unaweza tumia hizo kama documents si nyingi. Ikijaa unanunua storage.
 
Salamuu wakuu,

Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu

Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Compose email. Weka hizo document kama attachments. Then save hio draft ama jitumie mwenyewe. Problem solved
 
A much safer simpler way tumia telegram, au skype Kule una option ya ku save vitu vyako vya muhimu kwenye saved documents na hata ukipoteza simu au pc bado vitu vyako havipotei.

Yes unaweza kusave hivyo vitu kwenye email kwa kujitumia lakini risky yake ni kuwa siku ukisahau password na ukashindwa ku recover basi vitu vinapotea lakini telegram au skype haviwezi kupotea maana namba yako ya simu upo nayo
 
Huwezi labda uanzishe akaunti nyengine alafu ujitumie mwenyewe kutoka kwenye akaunti yako ya zamani kwenda kwenye akaunti yako mpya
email yako ina uwezo wa kutuma mails na attachments zake kwenye address hiyohiyo.

Wala sio kwa kubahatisha, try it
 
Unaweza pia kuhifadhi kupitia
1. Mediafire
2. Mega
3. Google Drive
Online storage zinakupa 15GB bure. Ni wewe na bando lako tu
 
Back
Top Bottom