Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 7,998
- 13,609
Wewe kama mtanzania hatua zipi umechukua?,serikali ina mambo mengi sana,kubwa lilikuwa kuzuia mauaji yao ,kwakua kila mmoja anahaki ya kuishi na imetajwa kwenye katiba
Unaijua kazi ya jeshi la polisi?