Hivi nani waliokuwaga nyuma ya mauaji ya ndugu zetu Albino awamu ya nne?

Wanasahau awamu ya tano ndio awamu pekee iliyolitia aibu taifa duniani..yaani bilionea anatekwa kirahisi
Harafu akaonekana amevaa Kanga,sijui walimfanyaje mpaka akapewa Kanga bilionea wa watani(Simba).
 
Raha ya Mwendazake alikuwa harembi ,rejea kuhusu issue ya mishahara ,alisema haongezi,Mama Samia kapita mlele kwa Lugha nyororo,je? Kaongeza ?
Ajabu ya Watanzania wanamsifia Rais Dikteta, muuaji, mwongo na mwizi
 
Ukiendekeza ushabiki huwezi nielewa..... Media ndio tool ya watu kufahamu uhalifu kama media zikilala wewe utajuaje? Unless uwe ndani ya polisi ndio utapata taarifa.

Mfano Kibiti nani alikua na taarifa za uhakika za kilichoendelea zaidi ya rumors tu na Azory gwanda alivyofanya investigative journalism akamalizwa afu unasema hamna anayetishwa?

Mtwara last year mwishoni yaliyotokea bila social media ungeyajuaje? Polisi wamekuja kukiri only baada ya video kusambaa otherwise ww usingejua lolote!!

Hivi kuna media bongo ilidiriki kuhoji alipokua magufuli days prior to his death? Mbona media zote duniani zilihoji kasoro za bongo? Bila media za kenya kuhoji kuna mtanzania angejua JPM amezidiwa na amekaribia kufariki?

Tatizo hamjui nguvu ya media kama watchdog ya taifa.... Mmekalia tu ushabiki
Hongera Mkuu zitto junior kwa kuliweka vizuri. Siku zote nalia na umbumbumbu wa Watanzania hususan wanapomlinganisha Magufuli na watangulizi wake.

Huwezi kufanya fair assessment ya Mwendazake dhidi ya waliomtangulia wote kuanzia JKN hadi JK. Hawa wote hawajawahi kuvitisha vyombo vya habari. Vyombo vilikuwa huru kuripoti wanayoyaona na wanayoyataka, na wala hakukuwa na sheria kandamizi dhidi ya Uhuru wa vyombo.

Mwendazake alitunga Sheria zikizomfanya awe Dikteta kamili, anavifungia vyombo vya habari kama T/Daima, M/Halisi na Mawio. Akahakikisha vyombo vyote vinamsifia yeye kuanzia asubuhi hadi jioni 24/7 kwa miaka yote 5 na miezi 4.

Watanzania wachache kupitia social media ndiyo wamekuwa wakileta habari mbadala.

Laiti vyombo vingekuwa huru wakati wa Mwendazake sidhani Kama angefanya wizi wa mali ya umma alioufanya na kusigina katiba
 
Fantastic rubbish ever
Ni fantastic rubbish kwa wenye Ubongo finyu kama wewe au kwa wanufaika wa Mwendazake. Wewe omtiti waweza kuwa Msukuma, mzaliwa wa Chato, mteule wa Mwendazake au mtegemezi wa mteule wa Mwendazake.

Kwenye makundi hayo huwezi kuwa na Uhuru wa mawazo yako. Biblia imesema ole wake amtegemaye mwanadamu
 
Wewe ni kabila gani na mzaliwa wa wapi?
 
Ukiendekeza ushabiki huwezi nielewa..... Media ndio tool ya watu kufahamu uhalifu kama media zikilala wewe utajuaje? Unless uwe ndani ya polisi ndio utapata taarifa.

Mfano Kibiti nani alikua na taarifa za uhakika za kilichoendelea zaidi ya rumors tu na Azory gwanda alivyofanya investigative journalism akamalizwa afu unasema hamna anayetishwa?

Mtwara last year mwishoni yaliyotokea bila social media ungeyajuaje? Polisi wamekuja kukiri only baada ya video kusambaa otherwise ww usingejua lolote!!

Hivi kuna media bongo ilidiriki kuhoji alipokua magufuli days prior to his death? Mbona media zote duniani zilihoji kasoro za bongo? Bila media za kenya kuhoji kuna mtanzania angejua JPM amezidiwa na amekaribia kufariki?

Tatizo hamjui nguvu ya media kama watchdog ya taifa.... Mmekalia tu ushabiki
kwa hiyo na ww unahangaika kumjibu omtiti ,mm narafiki yangu alikuwa TISS nilimwambia kwa maonyo sana that guy u serve is a satan ,mungu alivyo mkali aliuawa kwa maagizo ya JPM na jamaa alishiriki sana kutesa watu na kuua kipindi ya uchaguzi
 
Story za vijiweni hizi
 
Katika jambo ambalo ni aibu kwa JPM kuhusu sakata la mauaji ya ndugu zetu wenye ualbino ni kishibdwa kuwarudisha makwao na hata kuwaangalia wale watoto waliopelekwa kwenye makambi.

Wale watoto wamegeuka wakimbizi ndani ya nchi yao na hakuna juhudi iliyofanywa na hiyo awamu ya tano kuwanusuru na huu ukimbizi.

Watoto wanateseka wale ni kama taifa limewasahau toka 2009 hadi leo wengine wametelekezwa hadi na wazazi wao
 
Wewe kama mtanzania hatua zipi umechukua?,serikali ina mambo mengi sana,kubwa lilikuwa kuzuia mauaji yao ,kwakua kila mmoja anahaki ya kuishi na imetajwa kwenye katiba
 
Ukiendekeza ushabiki huwezi nielewa..... Media ndio tool ya watu kufahamu uhalifu kama media zikilala wewe utajuaje? Unless uwe ndani ya polisi ndio utapata taarifa.

Mfano Kibiti nani alikua na taarifa za uhakika za kilichoendelea zaidi ya rumors tu na Azory gwanda alivyofanya investigative journalism akamalizwa afu unasema hamna anayetishwa?

Mtwara last year mwishoni yaliyotokea bila social media ungeyajuaje? Polisi wamekuja kukiri only baada ya video kusambaa otherwise ww usingejua lolote!!

Hivi kuna media bongo ilidiriki kuhoji alipokua magufuli days prior to his death? Mbona media zote duniani zilihoji kasoro za bongo? Bila media za kenya kuhoji kuna mtanzania angejua JPM amezidiwa na amekaribia kufariki?

Tatizo hamjui nguvu ya media kama watchdog ya taifa.... Mmekalia tu ushabiki
Hawezi kukuelewa huyo.bado akili yake ndogo inawaza Legacy.
 
Back
Top Bottom