Hivi nani waliokuwaga nyuma ya mauaji ya ndugu zetu Albino awamu ya nne?

Waganga wa kienyeji ndio chimbuko la mauaji hayo pia ndio chimbuko la kuenea kwa ujambazi nchini
 
Wacha kudanganya takwimu kuhusu uhalifu kipindi cha Magufuli ulishuka kwa kiwango kikubwa sana .
Nani alikwambia media ziliogopa kuripoti matukio ya ujambazi?
Kipindi cha Magufuli wafungwa waliongezeka au walipungua/Mahabusu waliongezeka au walipungua ukipata jibu akili kichwani mwako
 
Kipindi cha Magufuli wafungwa waliongezeka au walipungua/Mahabusu waliongezeka au walipungua ukipata jibu akili kichwani mwako
Walipungua sana sana ushahihidi upo wazi aliaachia mamia kwa maelufu ya wafungwa
Ispokuwa wezi wa mali za umma ,wauza dawa za kulevya na majambazi habari waliipata barabara
 
Nakumbuka kipindi cha serikali ya awamu ya nne yalikuwepo mauaji ya ndugu zetu Albino kwa wingi sana ,ikiwemo na vikongwe.

Hii ilipelekea aibu kubwa sana kwa taifa letu kwenye uso wa kimataifa, nakumbuka jambo hili lilimkera sana aliyekuwa waziri mkuu Mizengo Pinda mpaka ilipelekea kulia hadharani kwa uchungu.

Cha kushangaza baada ya awamu ya Tano kuingia Madarakani mauaji hayo yalikomeshwa kabisa,sijawahi sikia tena haya mauaji.

Tukubali tukatae mwendazake aliinyosha hii nchi kwa muda mfupi,hatukusikia cha majambazi kuvamia na kuteka,panya road walifutika,dawa za kulevya na mateja kupotea,na mengine mengi ambayo yalikuwa kichefu chefu awamu ya Nne.
Tutaendelea kumkumbuka mwendazake, maana waliotawanyika wanaanza kujongea ili wajikusanye kuendelea na uhalibifu wa raia na mali zao .wanaonekana kuwa na kiu sana
Huyu Nyalandu hakushiriki kweli pia kwenye mauaji ya Albino, mbona karudi CCM haraka haraka baada ya Jiwe kusepa?
 
Magufuli aliua sana albino Tanzania. Alipofanikiwa kuwa kichaa wa nchi vifo vikatoweka. Shetani kabisa Magufuli.
 
Jeshi la polisi sio serikali?,ebhoo!!

Sasa kumbe unajua alafu unatka mim mwananchi nifanye nini?. Haya rudi kasome comment yangu ya mwanzo, usome na quote yako urudi soma swali langu alafu usome quote yako tena ujione namna ulivyo boya. (Sorry Mkuu)
 
Back
Top Bottom