Natumia Xiomi Mi11lite, yes line ni sim one na ndio natumia data yake lakini inasema tu verifying number. Nimejaribu Google huko nikaona sio mimi peke yangu mwenye tatizo hiliUnatumia simu gani?
Ina dual line hiyo simu unayotumia?
Kama ina laini 2, RCS inataka laini unayotaka kutumia iwe laini 1 na pia hiyo hiyo ndio uitumie kwenye internet/bando ama data.
Mimi naitumia hiyo na iko poa sana.
Jaribu ku update hiyo app.Natumia Xiomi Mi11lite, yes line ni sim one na ndio natumia data yake lakini inasema tu verifying number. Nimejaribu Google huko nikaona sio mimi peke yangu mwenye tatizo hili
Iko updated mkuu, nimerestart lakini wapi. Wewe inafanya kazi katika line ya mtandao gani, maana wengine wanadai wakibadili number inakubaliJaribu ku update hiyo app.
Pia jaribu ku disable hiyo feature na kisha retart simu na kisha enable upya hiyo feature.
Mimi inafanya kazi kwa laini ya VodacomIko updated mkuu, nimerestart lakini wapi. Wewe inafanya kazi katika line ya mtandao gani, maana wengine wanadai wakibadili number inakubali
Basi jaribu.Ngoja nitajaribu kwa line ya voda maana ndio uwa inakubali tech nying
Hii ni ni kitu gani ufafanuzi kidogo na sisi tuanze itumiaNajaribu ku enable RCS via google sms kwa ku switch on chat features lakini kila mara inabaki kusema inaverify number.
Kuna mtu yeyote amefanikiwa kutumia hii feature?
Ukiwa umeenable rcs ukawa unachat kwa sms za kawaida na mtu ambaye naye amenable rcs automatically zinaenda kwa njia ya internet na inakuwa kama tu ilivyo kwa whatsapp, unaweza tuma video, picha na akiwa anatype unaona. Yani ni sawa na imessages kwenye iPhone.Hii ni ni kitu gani ufafanuzi kidogo na sisi tuanze itumia
Aisee kumbeUkiwa umeendabke rcs ukawa unachat kwa sms za kawaida na mtu ambayr naye amenable rcs automatically zinaenda kwa njianya internet na inakuwa kama tu ilivyo kwa whatsapp, unaweza tuma video, picha na akiwa anatype unaona. Yani ni sawa na imessages kwenye iPhone.
Kama mtu hana rcs au anayo hajaienable zinaenda kama msg za kawaida kama ulivyozoea
Hiyo rcs inapatikana kwenye setting ama ni app?Ukiwa umeenable rcs ukawa unachat kwa sms za kawaida na mtu ambaye naye amenable rcs automatically zinaenda kwa njia ya internet na inakuwa kama tu ilivyo kwa whatsapp, unaweza tuma video, picha na akiwa anatype unaona. Yani ni sawa na imessages kwenye iPhone.
Kama mtu hana rcs au anayo hajaienable zinaenda kama msg za kawaida kama ulivyozoea
Iko kwenye setting za default sms app inayokija na simu za android hata app ya sms ya samsung ipo pia. Ila siyo kila simu inakupa option ya kuenable hiyo feature kuna simu nyingine huwezu kuienable.Hiyo rcs inapatikana kwenye setting ama ni app?
Na kama ni kwenye setting ipo sehemu gani ya setting?
Pamoja sana mkuu.Iko kwenye setting za default sms app inayokija na simu za android hata app ya sms ya samsung ipo pia. Ila siyo kila simu inakupa option ya kuenable hiyo feature kuna simu nyingine huwezu kuienable.
Ndio future ya texting
Nta try via wifiRcs kama ilivyo HD calling na Volte inahitaji Mtandao husika uwe una support kwako na Mpokeaji pia.
Sema Google ana Backend yake inaitwa Jibe ambayo ina Bypass mtandao, ila inahitaji kudownload app separate.
Ingia playstore download messages by google kisha nenda setting then enable chat feature, nimetest kwangu imekubali.
One tip tumia wifi kama ni ya zuku ama Mtandao mwengine, hii itakusaidia ku narrow tatizo pengine mtandao wa simu ama apn inakublock