R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,606 74,464 Aug 15, 2022 #1 Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi? Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
J JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,531 55,231 Aug 15, 2022 #2 ..hawana mambo ya kwaya ktk shughuli za KISERIKALI.
Proved JF-Expert Member Sep 10, 2018 27,700 35,063 Aug 15, 2022 #3 Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe.
J JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,531 55,231 Aug 15, 2022 #4 Proved said: Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe. Click to expand... ..pia hawana itifaki za kusalimiana na kutaja msururu wa vigogo waliohudhuria hafla husika.
Proved said: Liberal democracies hazihitaji hizo mbwembwe. Click to expand... ..pia hawana itifaki za kusalimiana na kutaja msururu wa vigogo waliohudhuria hafla husika.
jiwe angavu JF-Expert Member Aug 28, 2015 19,217 36,187 Aug 15, 2022 #7 Huwa wanapiga taarabu na vile vibiti vya singeli..jaribu kufauatiria utawaona waki perform . #MaendeleoHayanaChama
Huwa wanapiga taarabu na vile vibiti vya singeli..jaribu kufauatiria utawaona waki perform . #MaendeleoHayanaChama
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,606 74,464 Aug 15, 2022 Thread starter #8 Inside10 said: Hapana wanakaswida na madufu. Click to expand... ngoja waje wenye imani hiyo utakoma