Hivi Mwanza nalo Jiji?

Unamshawishi nani akubaliane na wewe??. Wapi panashida ya maji kati ya huko ulipo wewe na mwanza, upo Tanzania ipi hata habari zinakupita. Idara ya maji safi na maji taka manispaa ya kibaha walitembelea MWAUSA unajua lengo lao lilikuwa ni kujifunza nini kutoka mwanza?. Ndiyo maana tunawaambia tembeeni mjionee, msipende kubishana kwasababu tu ni karama zenu.
 
Vigezo vya jiji sio hivyo mkuu ila hakuna jiji ambalo wakazi wake wanaelemishwa kuwa na vyoo...ni siasa tuu ila mwanza hawana hadhi ya kuwa jiji...watu waishi katika jiji wasijitambue watumie ziwa kama choo...jiji la wapi hilo...
Hujielewi wewe, toa ushabiki wako hapa, mwanza hupajui.
 
Hivi pamoja na usomi wako na kuwa admitted kwenye chuo fulani AMAIZING hujui sifa za sehemu kuitwa Jiji?
Ni kweli kwamba sifa za Jiji lazima liwe na:-
  1. Centre za IELTS
  2. Nakumatt
  3. Movie Theatre
Mkuu hauko Serious, Jitathimini tena
Msomo fake hata certificate hasitahili.
 
Dope, huna usomi wowote ninachokiona unaupungufu wa madini joto, na hata wanaokusapoti pia yawezekana wanashida hiyo. Huwezi ukashindwa kufafanua how strategic mwanza city is, pia geographical potentiality ya mwanza ilivyo na sound. Halafu unajiita msomi. Msomi gani kwake nakumatt ndo supermarket pekee kwake??. Unsjidharirisha.
 
sasa inaongo
za kwa umasikin
Mwanza Region’s contribution to the gross domestic product (GDP) has reached 4.9tri/- to become the second region with largest economy after Dar es Salaam, which grew by 9.9tri/-.

Mwanza, also the second biggest city after Dar es Salaam, with a population of 2.7 million, is the business hub of the northern circuit serving almost ten regions.

The Mwanza Regional Commissioner, Mr Magesa Mulongo, said the regional economy, when measured by GDP, was growing fast and could have been closer to Dar esSalaam, if company registration was to be decentralised. “The market is here and economy to drive businesses is (also) here,” Mr Mulongo said.

The RC’s call came when he addressed a seminar that gathered local government workers and councillors from the Lake Zone organised by CRDB Bank to educate them about its services.

Mr Mulongo said the regional economy is growing at a pleasing pace and the need for financial services is widely needed bear in mind that it serves other regional as well.

According to the central bank, Mwanza, a region rich in minerals and fisheries, and with a city growing rapidly, is poised to close its gap with leader Dares Salaam, as manufacturing sector is growing.

BoT has projected Mwanza economy to grow by 8.0 per cent in 2014 if the levels of investment and the regional bloc trade remain unchanged. In short to medium term, the region’s strong GDP growth rate relying much on its income from fishing, farm products and livestock products.

Realising the opportunity, CRDB Bank, starts a strong market drive not only to win private sector but also government businesses in Lake Zone.

The bank in the region has almost 40 branches and controls almost 80 per cent of the govern ment business-meaning local government accounts.

The Prime Minister’s Office Minister for Regional Administration and Local Government, Ms Hawa Ghasia, urged local authorities to take the competition among banks, to their advantages. “(Municipals) don’t only channel workers salaries but also borrow for the development projects.

This way you increase the municipal revenues through those projects,” she said. To improve the financial services being provided to the central and local government, the treasury Chief Accountant picked two banks to do the job in this year to end NMB monopoly.

The other is CRDB. On its part CRBD has assured civil servants of timely payment of their salaries at guaranteed date irrespective of any government delay.

The announcement comes at a time when the bank has been approved to provide financial services to the municipals, councils and government institutions in this year.

The CRDB Managing Director, Dr Charles Kimei, promised local government officials that they will be presented with detail of the agreement and access to for development projects.

CRDB Director of Corporate Banking Mr Philip Alfred told the gathering that municipals are a good lender as their rate of repayment is relatively commendable.
Endelea kuamini hivyo.
 
Ha ha ha ha ha ha vigezo vya mji kuwa jiji ndo hivyo ulivyoainisha?
Naona hapa kaz wanayo walimu
 
Kuishi Afrika tu ni shida bila kujali ni Mwanza au Dar, kwani huko Arusha hamuumwi na mbu, hakuna taifod?
 
Ha ha ha ha ha ha vigezo vya mji kuwa jiji ndo hivyo ulivyoainisha?
Naona hapa kaz wanayo walimu
Hata siyo mwanachuo huyu. Jiografia darasa la tano alifeli secondary afaulu kwa gia ipi?
 
Ngoja kwanza tumalizie kuvuna mpunga patapendeza tu!
 
Yaani hata "Ghana" hujaenda kwenye ile Shopping Mall kali kuliko zote???
Ulikua Mwanza ipi??
 
Khaaaaaa. Kweli nimeamini kwamba kaskazini hawatakuja to a kiongozi mkuu was nchI. Hadi mwisho was dunia.
 
Khaaaaaa. Kweli nimeamini kwamba kaskazini hawatakuja to a kiongozi mkuu was nchI. Hadi mwisho was dunia.
na kama walizubaa kipindi ambacho wao ndo walikuwa wasomi pekee...wasahau kabisa kutoa raisi kipindi hiki ambacho makabila yote yana watu wenye degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…