Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hivi mwanza hakuna supermarket kabisa??
 
Duh
 
Rudi chuga basis mboyoyo za nini
 
Hivi mwanza hakuna supermarket kabisa??
Huyu DOPE ana hela basi ama dish limeyumba anatusumbua tu. Amekariri kila supermaket mjini ni ya narkumat, utahangaika wewe uliza wenyenji wakuongoze. Upo jijini na siyo ulikotoka.
 
Ukiwa darasa moja na watu wa sampuli hii haki ya nani unaonekana una kipaji cha juu sana.
 
70% ya wananchi was Mwanza wanaishi milimani ambako hazifiki ambulance, fire wala hakina huduma za maji na afya
80%Ya wamasai wamazurura, kuuza dawa za kienyeji, na kupaka kucha rangi na wachache wanaujira wa kulinda majumba ya matajiri.
 
Kwa taarifa yalo hakuna mlima usiokuwa na barara ya kuingia na kutoka ndani ya jiji la mwanza.
 

Dopeboy. Kindergaten gani hiyo ya kufanya mtihani jmn??. Nani alikufanyia huo mtihani. Crips zinapatikana kila duka JIJINI Mwanza si lazima nakumatt. Ukianza primary uje uweke uzi wenye kusomeka. P- mbaf jazz band
 
80%Ya wamasai wamazurura, kuuza dawa za kienyeji, na kupaka kucha rangi na wachache wanaujira wa kulinda majumba ya matajiri.

Wamasai wanapatikana Arusha, Manyara, Mara na Kenya pia.. Na ni wachache sana ambao wanatoka Arusha.. Arusha ina makabila kama Wameru na Waarusha na wageni ni wachagga, wambulu na wapare.. Arusha Mjini ni mji wa Waarusha na Wameru si wamasai..

Turudi kwenye hoja, asilimia 70 ya wakazi wa jiji la Mwanza wanakaa milimani kwenye makazi duni mpaka mawe yanawaangukia na kufariki ndani ya nyumba zao.. Ikitokea emergency hakuna njia ya kutoa msaada wa haraka zaidi ya kubeba mtu kwenye machela mpaka mjini.. hakuna maji salama na huko nilimani hakuna vyoo kwahiyo watu wanakunya ovyo na wengine kunya ziwani. Ziwa Viktoria ndio ziwa chafu kuliko maziwa yote duniani..
 
Mtabaki kutapata na siasa uchwara za ukaskazini.
 
Vigezo vya jiji sio hivyo mkuu ila hakuna jiji ambalo wakazi wake wanaelemishwa kuwa na vyoo...ni siasa tuu ila mwanza hawana hadhi ya kuwa jiji...watu waishi katika jiji wasijitambue watumie ziwa kama choo...jiji la wapi hilo...
 
Hivi pamoja na usomi wako na kuwa admitted kwenye chuo fulani AMAIZING hujui sifa za sehemu kuitwa Jiji?
Ni kweli kwamba sifa za Jiji lazima liwe na:-
  1. Centre za IELTS
  2. Nakumatt
  3. Movie Theatre
Mkuu hauko Serious, Jitathimini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…