Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Katika vitu nisivoviwazia kuvifanya maishani mwangu ni kuwa na Gari..

sioni ule uhitaji wa gari saana kwa upande wangu, ntabanana mwendokasini mpaka basi, siwezi kuacha kufanya mambo ya msingi nikanunue gari, yani halina kipaumbele kabisa kwangu.
 
Ni mawazo finyu ya kufikiria au huenda umefika ukomo wa mawazo
 
K5-Chevrolet-Blazer.jpg
Hahahaaa kweli lakini ila kumbuka na hali ya maisha ya mtanzania wa kawaida,kula tu tabu je hilo dubwana linywa mafuta aka jini mnyonya damu
 
Mtoa mada inaonesha hujawahi hata kuvuka mpaka kwenda nchi ya jirani. Siku ukifanikiwa kufika Europe ndo utajua aina za magari wanayotumia kwa asilimia kubwa. Gari zao nyingi ni economic ambazo huku Tz wewe ndo unayadharau na kuyaita magari ya vitoto au ya mabebez.
 
Inaonekana usiku wako ulikua mbaya sana mathalani jini mahaba au popo bawa kapita ndo mana umeamka na mawazo ya kikahaba kahaba.
 
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
jitu limezaliwa kwenye umasikini, porini ambako gari ni kitu cha thamani sana. Kijiji kizima yupo mmoja mwenye nayo
 
Mtoa mada inaonesha hujawahi hata kuvuka mpaka kwenda nchi ya jirani. Siku ukifanikiwa kufika Europe ndo utajua aina za magari wanayotumia kwa asilimia kubwa. Gari zao nyingi ni economic ambazo huku Tz wewe ndo unayadharau na kuyaita magari ya vitoto au ya mabebez.
Tusidanganyane bwana. Hakuna watu wanaopenda magari kama wazungu tena ya kifahari
 
Back
Top Bottom