Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama hayaView attachment 516378

Au

View attachment 516379

Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380

Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381

Na

View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
***** watakuja kukufanyia penda ujazwe kisa gari
 
Tatizo siyo kuwa na gari,tatizo ni kulihudumia hilo gari na ukizingatia hayo tunayoyaita magari kwetu sisi huku dunia ya tatu ni used used cars alafu eti tunaziita ni mpya na tunazipa namba D sijui E baadaye wakati huko japan washazitupa,sasa wewe gari limetumika Japan 10 years wewe huku bongo unasema ni jipya nitaendelea kupanda mwendo kasi mpaka niwe na uwezo wa kuagiza gari 0 km .
 
Ni kawaida watu masikini wa nchi masikini kushobokea magari ya binafsi.

Kwa sababu kwao binafsi kupata gari ni ndoto, na mifumo ya usafiri wa umma kwao ni mibovu.

Wenzetu nchi zilizoendelea wanaongeza kuboresha mifumo ya usafiri wa umma kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuvutia watu kuacha kupanda magari ya binafsi.

Ndiyo maana limbukeni wenye magari ya kutazama wanyama mbugani na vitoroli wanalimbuka na magari wakati mamilionea wa New York wanapanda New York Subway, Uber etc.
 
Mshamba utamjua tu kuna watu wamezaliwa na magari wameyakuta nyumbani na wala hawana shobo kama zako vigari vya mkopo vinawapumbaza akili sana wakati hauna hata uwezo wa kuvihudumia ukipigwa pasi kanalala gereji mwaka, jifunze kuishi uwezavyo sio kuiga vitu usivyo viweza utaolewa
 
Dah huwa napenda siku moja nije kusukuma hata vitz sema mambo ndo hivyo ngoja niendelee tu kupiga manyanga na phonex yangu
51233d458b2332b2a49f254cec1fad93.jpg
Anita iyo toleo jipya Mkuu bomba mbili bwaaaah
 
Ni kawaida watu masikini wa nchi masikini kushobokea magari ya binafsi.

Kwa sababu kwao binafsi kupata gari ni ndoto, na mifumo ya usafiri wa umma kwao ni mibovu.

Wenzetu nchi zilizoendelea wanaongeza kuboresha mifumo ya usafiri wa umma kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuvutia watu kuacha kupanda magari ya binafsi.

Ndiyo maana limbukeni wenye magari ya kutazama wanyama mbugani na vitoroli wanalimbuka na magari wakati mamilionea wa New York wanapanda New York Subway, Uber etc.
Acha ngonjera kapuku. We sema huna hela. Gari za wanaume kama hiziutazisikia kwenye bomba
IMG_20170531_065239.jpeg
 
Inawezekana na upumbavu ni sehem ya maisha yako,mwanaume huwa anakunya gari au ww ni mbweha nn?jinga kabisa endelea kujiuza lkn kumbuka kuna gonjwa litashugulika na ww.
We sema ushazoea usafiri huuu
Wa waha
IMG_20170531_065540.jpeg
 
Acha ngonjera kapuku. We sema huna hela. Gari za wanaume kama hiziutazisikia kwenye bomba
View attachment 516886
I just bought a Beemer SUV for Bi. Zahra, hiyo gari inayoonekana kama kiatu cha Michael Jordan cha miaka ya tisini hata kupiga nayo picha bure siwezi.

Why? That's practically the same Bronco shit OJ tried to get away with.

Kama unataka kuongea magari, angalau weka magari ya kweli basi, sio hizi takataka za Dubai.
 
Hivi vinchi vimetoka kwenye mfumo wa ujamaa ni shida watu wake bado washamba washamba tu.
 
Hivi vinchi vimetoka kwenye mfumo wa ujamaa ni shida watu wake bado washamba washamba tu.
Ni mambo ya "matako kulia mbwata" tu hayo.

Wenye magari ya kweli wenyewe hata utawasikia kuanzisha uzi wa aibu kama huu basi?

Ndo kwanza wanawaza kununua ndege wasikutane na wajinga wajinga barabarani!
 
Wakati kuna watu wanakuwa obsessed na gari za kuendesha dunia hii, kuna watu wengine wanafikiria ni jinsi gani wataondoka dunia hii kabla ya jua letu halijaisha nishati halafu watandae kwenye Galaxy kabla sayari nyingine hazijawakimbia kimoja kutokana na kupanuka kwa ulimwengu kama kulivyothibitishwa na Edwin Hubble.

Guluguja mla buja.
 
Kipindi hiki ndo wanaume wenye mikoko yetu Tunatumia sana wake zenu. Mvua kwetu ni fursa ya kupata papuchi mupyaaa
IMG_20170601_065304.jpeg
 
Back
Top Bottom