Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Umemaliza vizuri sana
Naona hii ishu ime trend ila nahisi majukumu yanachangaia waume kutoa shoo mbovu ukiangalia vijana wengi wanaolala na wake za watu hawana majukumu kivileee wapo wapo tuuu...
Sasa midada isiyokua na akili haielewi hii kitu inawaza kupigwa pumbu tuu badala ya kuwa bega kwa bega na waume zao kutafuta solution....
Ukitaka kuoa kuwa makini usioe malaya
 
Hahaha!!!

Basi ngoja niende nyuzi nyinginezo
Aaahahahahhaa nnaavyoandika vyote vina ukweli kwa silimia kubwa upande wa kikeni ila kwa wewe nakupiga tochi hautasoma... na ukisoma hautaelewa....

Kasie Mavurugu.
 
Well..... a trash to you is a token to another...
If id does not apply and work on you, it fit others...
This is a wide society and we are NOT equal NEITHER we will be... it was created that way.

Words in bold and colour do you want a vivid example??!! then if you get one will you revert your words??!!
Between men and women to succeed in relationship its more that SEX, first thing is consider your partner as a being, weight his or her value... respect one another, opennes to each other, endless love without hurting one another.

Ukiona mahusiano yamefikia kwenye kukomoana au kutokujali kama atakasirika au atachukia au akiniuliza nitamjibu vyovyote vile, ni vyema kupumzika hayo mahusiano iwapo hakuna maridhiano, maelewano wala dalili ya kujishusha na kusonga mbele.

Its not about accusing a man or a woman, the debate will never end and relationships being dull hence sex relationship. But facts should be said widely open na hayo yasemwayo yakifanyiwa kazi mahusiano yatarudi at paa!!

Tuende na maneno uliyosema, mwanamke awe mama wa nyumbani ili asiwe na kiburi cha kukimbilia kuachana na mumewe au mpenziwe, Je, mwanaume atajiweka sawa kuhakikisha anatimiza wajibu wake bila kulegalega kuanzia gharama za maisha hadi shughuli za kitandani? Au mwanaume ataishia kusema nina stress ya kutafuta hela we mwanamke niache nna majukumu mengi?

I think its more of cooperating, supporting and encouraging each other than accusing each other if and only if the aim is to make strong and healthier relationships...!!

MIKE DOWN!!

Kasinde Platinum Matata.
Dada wikiendi hii utakua wapi? Nimekutunuku moyo wangu bure kabisa.
 
Natamani nikufate PM nipate mengi zaid

Karibu at your own risk....

Wanasemaga Tanga wenda leo kurudi maajaliwa ya mwenyeji wako iwapo atakuruhusu, wenda na nguo zako ila ukififika si zako tena, zarowekwa kwenye maji utakuwa washindia msuli tuu kama si khanga nyepesi....

Angalia tuu ukija huko PM usije ukashindwamo kutoka ukajikuta umezama humohumo

Kasinde Jambazi wa Mahaba.
 
Dada wikiendi hii utakua wapi? Nimekutunuku moyo wangu bure kabisa.

Ntakuwa naukemea uzee wanakopiga Old School songs karibu na St. Peters

Asante kwa kunipa kazi ya kupump damu kwenye mwili wako....

Nimeupokea kwa hesghima zote, karibu sana.

Kasinde Jambazi wa Mahaba.
 
Hii hofu haitakaa iwaache wanaume salama.

Wanawake wanaozaa watoto wa kiume wana kazi kubwa sana ya kuwalea na kuwajenga watoto wa kiume wajiamini kuwa mke atayemuoa ni wake, jukumu lake na matakwa ya mke wake ni jukumu lake. Akitaka kusaidiwa kitu chochote kinachomhusu mkewe ajiandae kisaikolojia kusaidiwa mkewe kwa namna yeyote ile.

Kuna msemo mnasema ni ngumu sana kumuelewa mwanamke, hata wanawake nao wanasemaga hivohivo hivi wanaume wanatafuta nini hasa, anajiangalia kwenye kioaa, tako nnalo, jicho nnalo rangi ya mtume, mwanya nnao, dimples ndo usiseme, niko msafi na kadhalika na kadhalika sasa huyu mwanaume anataka nini zaidi hata kwenda kushiriki ngono na muuza matunda anaezunguisha kwenye kibeseni.....

Hiyo saikolojia yenu hiyo ya kusema saa ingine aunataka tuu uchape ilale ila ukirudi kwa mkeo ndo mahaba mia mia (hakikisha mkeo hajui kwa namna yeyote ile uchepukaji unaoufanya) maana akijua ushaharibu saikolojia yake.... vivyo hivyo saikolojia ya mwanamke atasema waaaaiiiii kwanza kila nikienda lunch yule mkaka wa BOT huwa ananifatilia sana na yuko tayari hata nisafiri nae popote, hapo ndo akili ya mwanamke inapokuwa ndogo na kufanya anachokiwaza na hataki ushauri.

Vile mnasemaga mkiwaza na kichwa cha chini mambo huvurugika vivyo hivyo ukichafua moyo wa mwanamke anatumia hisia zaidi kujiweka sawa na kujifariji.....

Mngejaribu kutumia saikolojia zaidi kumdhibiti mwanamke na si mabavu wala nguvu. Kumbuka kama ambavyo mnamuona kiumbe wa kike haridhiki wanawake haohao wanaumia sana mioyoni mwao pale wanapojua kuwa mumewe au mpenziwe anashiriki mapenzi na Sara, Lucy, Amina, Lupakisyo, Mtende, Roberta na kuendelea na kuendelea..... Kama msemavyo mwanaume akichiti haimpti tiketi mwanamke nae akachiti, msichotaka kufanyiwa, msikifanye.

Miaka yetu nilikuwa nawaona bibi zangu na mama zangu wanawake aidha walikuwa hawachiti au wakichiti wanajificha, sikuhizi wanafanya waziwazi.... mmewafundisha wenyewe sasa tafuteni namna ya kurekebisha.... ila mkitumia mabavu mtazidi kwisha na kuishia kupunguza idadi ya wanaume kwa kushiriki ngono na wanaume wenzenu aka mashoga.

Kumbuka wanawake anaweza asichepuke na mwanaume mwingine ila ajiingiza kwenye shughuli ambazo anakuwa bize nazo na wewe anakugwaya kama fenicha sebleni......

1. JIAMINI
2. ACHA HOFU / WOGA WA KUCHAPIWA
3. ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI
4. TAFUTA HELA SANAAA

Kasinde Matata.
Asante Sana Nimepata Shule ya kutosha
 
Karibu at your own risk....

Wanasemaga Tanga wenda leo kurudi maajaliwa ya mwenyeji wako iwapo atakuruhusu, wenda na nguo zako ila ukififika si zako tena, zarowekwa kwenye maji utakuwa washindia msuli tuu kama si khanga nyepesi....

Angalia tuu ukija huko PM usije ukashindwamo kutoka ukajikuta umezama humohumo

Kasinde Jambazi wa Mahaba.
Sio kwa mkwara huo.. mpaka sioni pa kugusa kuingia pm
 
Ntakuwa naukemea uzee wanakopiga Old School songs karibu na St. Peters

Asante kwa kunipa kazi ya kupump damu kwenye mwili wako....

Nimeupokea kwa hesghima zote, karibu sana.

Kasinde Jambazi wa Mahaba.
Mmh! Ni mambo ya kitanga nini? Ok, naweza kuyamudu usijali "bebi"
 
Azinie na mwanamke hana akili kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom