Looks like hujanikamatia sawia,
Hapo nilipo bold kwa rangi ya kijani huo ni ukweli na ni asili kuwa mmeumbwa hivyo, hiyo wala sibishani nayo. Nnachogomba nyie kutumia hiyo asili yenu kufunua kila sketi hadi mwenzi wako akajua. fikiria sikukagui, sikufatilii uko wapi uko na nani sikuulizi kwanini umechelewa na kadhalika na kadhalika na naamini maelezo utayonipa kuwa ni kweli na sawia. ILA, ukifanya ushenzi ukatembea na mwanamke wa nyumba ya jirani kiasi yule mwanamke ananitamkia vijembe au ananitukana au nakufumania ndo unatoka huko au nakukuta na nguo za huyo mwanamke kwenye vitu vyako... yaani unajisahau hadi nagundua uhalisia wako...... TO BE HONEST, NTABAKI NAKUHESHIMU TUU KAMA BINADAMU WENGINE NA SI KAMA MPENZI. Haya ni maamuzi yangu binafsi no wonder sijaolewa na sijui kama ningeweza kaa hata wiki kwenye ndoa japo najiamini niko mvumilivu sana. Namaanisha hivi, go ahead fcuck Anna, Amina, Jackline, Devota et al BUT do not allow at any cost your one and only love partner to know. MIKE DOWN!!
Hapo nilipo bold kwa rangi nyekundu, wanawake asili yetu tunaendeshwa kwa hisia sana, mwanaume mwerevu au anayetumia akili atatumia muda wake kumsoma mpenziwe kuwa namchombezaje huyu mwanamke hadi nipate ile chemcjhem itoayo maji ya chumvi!!???
Jamani mbona mkitongoza mnakuwa na maneno mazuri ya kubembeleza mkubaliwe katika mahusiano? Vivyo hivyo wanawake asili yao ni kubembelezwa na ucheze na saikolojia yake kumtoa kwenye mood ya kutojisikia kufanya tendo na kuwa tayari kupanua milango uzao uingie na wote mkafurahia uumbaji... ILA ukitumia mabavu kumbaka unamharibu saikolojia yake.... ULE USEMI WA KUISHI NA MWANAMKE KWA AKILI haimanishi akili za darasani au za kutafuta hela, its more than that... cheza na saikolojia ya mwanamke kumtoa kwenye mood ya kutokata kufanya tendo hadi kufikia kulainika na kukupa ushirikiano wote katika uchakataji.
Nina ukahika humu JF kuna wanaume ambao wanaishi na wanawake vizuri tuu, na ni vitombi balaa na hao wanawake wao permanent hawawezi kuwaacha hao wanaume. Natamani wajitokeze hapa waseme walau robo ya mbinu wanazofanya namna wanacheza na saikolojia ya mwanamke, msiwe wavivu wa kung'ambua mambo ya kike sababu mmeumbiwa kutokuchoka, mnajaribu na mujaribu na mujaribu na mujaribu, mwanaume muelewa huwa hamshindwi mwanamke na HATUMII MABAVU HATA KIDOGO!!! There's nothing for free in this world, and cheap things sometimes don't last. WORK for your thing, SWEAT for it!!
Cheza na saikolojia ya mwanamke, tumia akili sana kuliko nguvu, ILA usicheze na saikolojia ya mwanamke kumuumiza, akifanikiwa kuchomoka na kusimama mwenyewe, huna mahali utapona na hutobaki salama. MIKE DOWN!!
Kasinde Matata Platinum.