Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,276
Mgegeda vizuri hata kama akiolewa?

Nina ushuhuda kwa wadada kama wanne hivi walio olewa wanaendelea kutafunwa na washkaji zangu, tena wao ndio wanahuo uhitaji......naona imekuwa desturi sasa!

Ambao mnaoa mabikra mnaweza kuwa salama zaidi, ila wenzangu na mimi unakunywa soda ilishafunguliwa jaribu kuwa mpole ktk safari ya ndoa yako.
 
Naona hii ishu ime trend ila nahisi majukumu yanachangaia waume kutoa shoo mbovu ukiangalia vijana wengi wanaolala na wake za watu hawana majukumu kivileee wapo wapo tuuu...
Sasa midada isiyokua na akili haielewi hii kitu inawaza kupigwa pumbu tuu badala ya kuwa bega kwa bega na waume zao kutafuta solution....

Ukitaka kuoa kuwa makini usioe malaya
 
Naona hii ishu ime trend ila nahisi majukumu yanachangaia waume kutoa shoo mbovu ukiangalia vijana wengi wanaolala na wake za watu hawana majukumu kivileee wapo wapo tuuu...
Sasa midada isiyokua na akili haielewi hii kitu inawaza kupigwa pumbu tuu badala ya kuwa bega kwa bega na waume zao kutafuta solution....

Ukitaka kuoa kuwa makini usioe malaya
We jamaa umemalizia vizuri kabisa, salute kwako lordchimkwese
 
Umezunguka Sana hapo chini ndio yalitakiwa kua mada
 
Hiyo sentensi ya mwisho nimeichukua.
Naona hii ishu ime trend ila nahisi majukumu yanachangaia waume kutoa shoo mbovu ukiangalia vijana wengi wanaolala na wake za watu hawana majukumu kivileee wapo wapo tuuu...
Sasa midada isiyokua na akili haielewi hii kitu inawaza kupigwa pumbu tuu badala ya kuwa bega kwa bega na waume zao kutafuta solution....

Ukitaka kuoa kuwa makini usioe malaya
 
Hii hofu haitakaa iwaache wanaume salama.

Wanawake wanaozaa watoto wa kiume wana kazi kubwa sana ya kuwalea na kuwajenga watoto wa kiume wajiamini kuwa mke atayemuoa ni wake, jukumu lake na matakwa ya mke wake ni jukumu lake. Akitaka kusaidiwa kitu chochote kinachomhusu mkewe ajiandae kisaikolojia kusaidiwa mkewe kwa namna yeyote ile.

Kuna msemo mnasema ni ngumu sana kumuelewa mwanamke, hata wanawake nao wanasemaga hivohivo hivi wanaume wanatafuta nini hasa, anajiangalia kwenye kioaa, tako nnalo, jicho nnalo rangi ya mtume, mwanya nnao, dimples ndo usiseme, niko msafi na kadhalika na kadhalika sasa huyu mwanaume anataka nini zaidi hata kwenda kushiriki ngono na muuza matunda anaezunguisha kwenye kibeseni.....

Hiyo saikolojia yenu hiyo ya kusema saa ingine aunataka tuu uchape ilale ila ukirudi kwa mkeo ndo mahaba mia mia (hakikisha mkeo hajui kwa namna yeyote ile uchepukaji unaoufanya) maana akijua ushaharibu saikolojia yake.... vivyo hivyo saikolojia ya mwanamke atasema waaaaiiiii kwanza kila nikienda lunch yule mkaka wa BOT huwa ananifatilia sana na yuko tayari hata nisafiri nae popote, hapo ndo akili ya mwanamke inapokuwa ndogo na kufanya anachokiwaza na hataki ushauri.

Vile mnasemaga mkiwaza na kichwa cha chini mambo huvurugika vivyo hivyo ukichafua moyo wa mwanamke anatumia hisia zaidi kujiweka sawa na kujifariji.....

Mngejaribu kutumia saikolojia zaidi kumdhibiti mwanamke na si mabavu wala nguvu. Kumbuka kama ambavyo mnamuona kiumbe wa kike haridhiki wanawake haohao wanaumia sana mioyoni mwao pale wanapojua kuwa mumewe au mpenziwe anashiriki mapenzi na Sara, Lucy, Amina, Lupakisyo, Mtende, Roberta na kuendelea na kuendelea..... Kama msemavyo mwanaume akichiti haimpti tiketi mwanamke nae akachiti, msichotaka kufanyiwa, msikifanye.

Miaka yetu nilikuwa nawaona bibi zangu na mama zangu wanawake aidha walikuwa hawachiti au wakichiti wanajificha, sikuhizi wanafanya waziwazi.... mmewafundisha wenyewe sasa tafuteni namna ya kurekebisha.... ila mkitumia mabavu mtazidi kwisha na kuishia kupunguza idadi ya wanaume kwa kushiriki ngono na wanaume wenzenu aka mashoga.

Kumbuka wanawake anaweza asichepuke na mwanaume mwingine ila ajiingiza kwenye shughuli ambazo anakuwa bize nazo na wewe anakugwaya kama fenicha sebleni......

1. JIAMINI
2. ACHA HOFU / WOGA WA KUCHAPIWA
3. ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI
4. TAFUTA HELA SANAAA

Kasinde Matata.
 
Hiyo sentensi ya mwisho nimeichukua.
Utajuaje sasa kama ni m*laya,mtu akitaka kuolewa anakua mnafiki hasa,na ndugu pamoja na marafiki zake watamsaidia kwenye huo unafiki ili umchukue kwa moyo mweupe,akianza kuishi nawewe ndiyo hapo wenzake wanaanza kumpia simu kua Asha,Shaban nimekutana nae,analalamika kua haupatikani kwenye ile namba,ngoja nimpe namba yako akutafute,kakumiss kweli,happy ndo mahusiano ya zamani yanapoanza kurudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom