Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

Ukweli ulio uchi asante sana kasie una akili kubwa mno wanaume wafuate ushauri wako huu,,
Hii hofu haitakaa iwaache wanaume salama.

Wanawake wanaozaa watoto wa kiume wana kazi kubwa sana ya kuwalea na kuwajenga watoto wa kiume wajiamini kuwa mke atayemuoa ni wake, jukumu lake na matakwa ya mke wake ni jukumu lake. Akitaka kusaidiwa kitu chochote kinachomhusu mkewe ajiandae kisaikolojia kusaidiwa mkewe kwa namna yeyote ile.

Kuna msemo mnasema ni ngumu sana kumuelewa mwanamke, hata wanawake nao wanasemaga hivohivo hivi wanaume wanatafuta nini hasa, anajiangalia kwenye kioaa, tako nnalo, jicho nnalo rangi ya mtume, mwanya nnao, dimples ndo usiseme, niko msafi na kadhalika na kadhalika sasa huyu mwanaume anataka nini zaidi hata kwenda kushiriki ngono na muuza matunda anaezunguisha kwenye kibeseni.....

Hiyo saikolojia yenu hiyo ya kusema saa ingine aunataka tuu uchape ilale ila ukirudi kwa mkeo ndo mahaba mia mia (hakikisha mkeo hajui kwa namna yeyote ile uchepukaji unaoufanya) maana akijua ushaharibu saikolojia yake.... vivyo hivyo saikolojia ya mwanamke atasema waaaaiiiii kwanza kila nikienda lunch yule mkaka wa BOT huwa ananifatilia sana na yuko tayari hata nisafiri nae popote, hapo ndo akili ya mwanamke inapokuwa ndogo na kufanya anachokiwaza na hataki ushauri.

Vile mnasemaga mkiwaza na kichwa cha chini mambo huvurugika vivyo hivyo ukichafua moyo wa mwanamke anatumia hisia zaidi kujiweka sawa na kujifariji.....

Mngejaribu kutumia saikolojia zaidi kumdhibiti mwanamke na si mabavu wala nguvu. Kumbuka kama ambavyo mnamuona kiumbe wa kike haridhiki wanawake haohao wanaumia sana mioyoni mwao pale wanapojua kuwa mumewe au mpenziwe anashiriki mapenzi na Sara, Lucy, Amina, Lupakisyo, Mtende, Roberta na kuendelea na kuendelea..... Kama msemavyo mwanaume akichiti haimpti tiketi mwanamke nae akachiti, msichotaka kufanyiwa, msikifanye.

Miaka yetu nilikuwa nawaona bibi zangu na mama zangu wanawake aidha walikuwa hawachiti au wakichiti wanajificha, sikuhizi wanafanya waziwazi.... mmewafundisha wenyewe sasa tafuteni namna ya kurekebisha.... ila mkitumia mabavu mtazidi kwisha na kuishia kupunguza idadi ya wanaume kwa kushiriki ngono na wanaume wenzenu aka mashoga.

Kumbuka wanawake anaweza asichepuke na mwanaume mwingine ila ajiingiza kwenye shughuli ambazo anakuwa bize nazo na wewe anakugwaya kama fenicha sebleni......

1. JIAMINI
2. ACHA HOFU / WOGA WA KUCHAPIWA
3. ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI
4. TAFUTA HELA SANAAA

Kasinde Matata.
 
Tatizo siku hizi show nyingi hazifiki hata dk 5 jamaa hoi, anasinzia fofofo, ukimuuliza anajitetea, ohhh unajua kazi nazo zinanichosha,hapo ndo anapotafutwa mchezaji wa akiba aokoe jahazi,kiroho safi tu.
 
Ndiyo anaweza

Kwa zile sifa na viapo ilitakiwa niendelee kuweka lakini binti hata alipochomokea
 
Tatizo siku hizi show nyingi hazifiki hata dk 5 jamaa hoi, anasinzia fofofo, ukimuuliza anajitetea, ohhh unajua kazi nazo zinanichosha,hapo ndo anapotafutwa mchezaji wa akiba aokoe jahazi,kiroho safi tu.

unaonaje ukihamia kwa mchezaji wa akiba mazima?
 
Utajuaje sasa kama ni m*laya,mtu akitaka kuolewa anakua mnafiki hasa,na ndugu pamoja na marafiki zake watamsaidia kwenye huo unafiki ili umchukue kwa moyo mweupe,akianza kuishi nawewe ndiyo hapo wenzake wanaanza kumpia simu kua Asha,Shaban nimekutana nae,analalamika kua haupatikani kwenye ile namba,ngoja nimpe namba yako akutafute,kakumiss kweli,happy ndo mahusiano ya zamani yanapoanza kurudi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii hofu haitakaa iwaache wanaume salama.

Wanawake wanaozaa watoto wa kiume wana kazi kubwa sana ya kuwalea na kuwajenga watoto wa kiume wajiamini kuwa mke atayemuoa ni wake, jukumu lake na matakwa ya mke wake ni jukumu lake. Akitaka kusaidiwa kitu chochote kinachomhusu mkewe ajiandae kisaikolojia kusaidiwa mkewe kwa namna yeyote ile.

Kuna msemo mnasema ni ngumu sana kumuelewa mwanamke, hata wanawake nao wanasemaga hivohivo hivi wanaume wanatafuta nini hasa, anajiangalia kwenye kioaa, tako nnalo, jicho nnalo rangi ya mtume, mwanya nnao, dimples ndo usiseme, niko msafi na kadhalika na kadhalika sasa huyu mwanaume anataka nini zaidi hata kwenda kushiriki ngono na muuza matunda anaezunguisha kwenye kibeseni.....

Hiyo saikolojia yenu hiyo ya kusema saa ingine aunataka tuu uchape ilale ila ukirudi kwa mkeo ndo mahaba mia mia (hakikisha mkeo hajui kwa namna yeyote ile uchepukaji unaoufanya) maana akijua ushaharibu saikolojia yake.... vivyo hivyo saikolojia ya mwanamke atasema waaaaiiiii kwanza kila nikienda lunch yule mkaka wa BOT huwa ananifatilia sana na yuko tayari hata nisafiri nae popote, hapo ndo akili ya mwanamke inapokuwa ndogo na kufanya anachokiwaza na hataki ushauri.

Vile mnasemaga mkiwaza na kichwa cha chini mambo huvurugika vivyo hivyo ukichafua moyo wa mwanamke anatumia hisia zaidi kujiweka sawa na kujifariji.....

Mngejaribu kutumia saikolojia zaidi kumdhibiti mwanamke na si mabavu wala nguvu. Kumbuka kama ambavyo mnamuona kiumbe wa kike haridhiki wanawake haohao wanaumia sana mioyoni mwao pale wanapojua kuwa mumewe au mpenziwe anashiriki mapenzi na Sara, Lucy, Amina, Lupakisyo, Mtende, Roberta na kuendelea na kuendelea..... Kama msemavyo mwanaume akichiti haimpti tiketi mwanamke nae akachiti, msichotaka kufanyiwa, msikifanye.

Miaka yetu nilikuwa nawaona bibi zangu na mama zangu wanawake aidha walikuwa hawachiti au wakichiti wanajificha, sikuhizi wanafanya waziwazi.... mmewafundisha wenyewe sasa tafuteni namna ya kurekebisha.... ila mkitumia mabavu mtazidi kwisha na kuishia kupunguza idadi ya wanaume kwa kushiriki ngono na wanaume wenzenu aka mashoga.

Kumbuka wanawake anaweza asichepuke na mwanaume mwingine ila ajiingiza kwenye shughuli ambazo anakuwa bize nazo na wewe anakugwaya kama fenicha sebleni......

1. JIAMINI
2. ACHA HOFU / WOGA WA KUCHAPIWA
3. ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI
4. TAFUTA HELA SANAAA

Kasinde Matata.
kuna msemo wanawake wengi wanaongea humo masaloon " Mme usimpe mbuny* kila anapotaka atakuchoka/Usimpe kila anapotaka ili akumisi"
Mwanamke Mjinga/mpumbavu huaribu ndoa yake kwa mikono yake.
Mwanaume mnyime kila kitu ila sio Sex/Mbuny* ATACHEPUKA
 
Bold words in RED....

That's fact though doesn't apply everywhere.....
Its more of a personal character.

Might offer a PUSSY to a man every when he want, but again he dares to *** a chick next door or a housemaid.... (claiming its just for fun nothing more..)

SEX is never enough, rather a man need to be WISE enough that, whenever he fcuks for his pleasure should NOT and NEVER leave a trace for his wife / lover to find out.

A WISE man (with WISDOM) of course, will enjoy this life by not being dragged and or controlled by his small head (P).

If you allow / let your woman lose TRUST in you..... NEXT is she'll be pretending by 80% for the rest of your relationship that IT IS STILL OKAY.... hahahahhahaa TRAP!!

Kasinde Platinum Matata the Old Granny.
 
Nitarudi phone low battery
 
Hii hofu haitakaa iwaache wanaume salama.

Wanawake wanaozaa watoto wa kiume wana kazi kubwa sana ya kuwalea na kuwajenga watoto wa kiume wajiamini kuwa mke atayemuoa ni wake, jukumu lake na matakwa ya mke wake ni jukumu lake. Akitaka kusaidiwa kitu chochote kinachomhusu mkewe ajiandae kisaikolojia kusaidiwa mkewe kwa namna yeyote ile.

Kuna msemo mnasema ni ngumu sana kumuelewa mwanamke, hata wanawake nao wanasemaga hivohivo hivi wanaume wanatafuta nini hasa, anajiangalia kwenye kioaa, tako nnalo, jicho nnalo rangi ya mtume, mwanya nnao, dimples ndo usiseme, niko msafi na kadhalika na kadhalika sasa huyu mwanaume anataka nini zaidi hata kwenda kushiriki ngono na muuza matunda anaezunguisha kwenye kibeseni.....

Hiyo saikolojia yenu hiyo ya kusema saa ingine aunataka tuu uchape ilale ila ukirudi kwa mkeo ndo mahaba mia mia (hakikisha mkeo hajui kwa namna yeyote ile uchepukaji unaoufanya) maana akijua ushaharibu saikolojia yake.... vivyo hivyo saikolojia ya mwanamke atasema waaaaiiiii kwanza kila nikienda lunch yule mkaka wa BOT huwa ananifatilia sana na yuko tayari hata nisafiri nae popote, hapo ndo akili ya mwanamke inapokuwa ndogo na kufanya anachokiwaza na hataki ushauri.

Vile mnasemaga mkiwaza na kichwa cha chini mambo huvurugika vivyo hivyo ukichafua moyo wa mwanamke anatumia hisia zaidi kujiweka sawa na kujifariji.....

Mngejaribu kutumia saikolojia zaidi kumdhibiti mwanamke na si mabavu wala nguvu. Kumbuka kama ambavyo mnamuona kiumbe wa kike haridhiki wanawake haohao wanaumia sana mioyoni mwao pale wanapojua kuwa mumewe au mpenziwe anashiriki mapenzi na Sara, Lucy, Amina, Lupakisyo, Mtende, Roberta na kuendelea na kuendelea..... Kama msemavyo mwanaume akichiti haimpti tiketi mwanamke nae akachiti, msichotaka kufanyiwa, msikifanye.

Miaka yetu nilikuwa nawaona bibi zangu na mama zangu wanawake aidha walikuwa hawachiti au wakichiti wanajificha, sikuhizi wanafanya waziwazi.... mmewafundisha wenyewe sasa tafuteni namna ya kurekebisha.... ila mkitumia mabavu mtazidi kwisha na kuishia kupunguza idadi ya wanaume kwa kushiriki ngono na wanaume wenzenu aka mashoga.

Kumbuka wanawake anaweza asichepuke na mwanaume mwingine ila ajiingiza kwenye shughuli ambazo anakuwa bize nazo na wewe anakugwaya kama fenicha sebleni......

1. JIAMINI
2. ACHA HOFU / WOGA WA KUCHAPIWA
3. ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI
4. TAFUTA HELA SANAAA

Kasinde Matata.
Sijaona ulichoandika cha maana dada kasie,ni mwanaume gani ambaye hajiamini wala hatimizi majukumu yk?problem kubwa ni kwenu wadada wa sasa,wengi wenu c wakweli na mna tamaa sana na kupenda kuiga maisha ya wengine,wengi wenu mmeanza kale ka mchezo mapema sana,ni aghalabu kwa maisha ya sasa kukutana na bikra au mwanamke ambaye hajazalishwa,mmeshindwa completely kutimiza majukumu yenu km mama zetu au bibi zetu walivyokuwa wakifanya,si watiifu kbs na mambo yenu ya haki sawa yameleta shida kubwa sana ndio maana wengi ninyi mliosoma hamuolewi mnaishia kutafunwa tu na ht mkiolewa hamuishi ktk majumba yenu,kosa kubwa ni vijiara vyenu na visenti mnavyopata japo pia kwa upande mwingine wanaume suruali nao ni wengi sana kwss
 
kuna msemo wanawake wengi wanaongea humo masaloon " Mme usimpe mbuny* kila anapotaka atakuchoka/Usimpe kila anapotaka ili akumisi"
Mwanamke Mjinga/mpumbavu huaribu ndoa yake kwa mikono yake.
Mwanaume mnyime kila kitu ila sio Sex/Mbuny* ATACHEPUKA
Ni wanaume wangapi wanapewa sex kila siku na kila sehemu lakini bado wanachepuka?? Hivi mtawadanganya hao wanawake hadi lini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom