Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Haki ya mnyama ni kuishi anapotaka, yaani maeneo yao ya asili - kuwapeleka sehemu ambayo si asili yao ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wanyama.
Weweeeeeeeee mle maporini kuanzia Kimisi uje Burigi uje Biharamulo kuna wanyama kwa maelfu sasa unasemaje sio asili yao? Kuna simba mle wameshakula watu na mifugo ya watu balaaaaaaaa bluuuuuuuu mpaka waliuwawa na wanakijiji, hawa wanyarwanda ndio waliharibu kuchungia mifugo mle


Ila pundamilia wapo tele na twiga wa kumwaga kabisa mle wamo
 
Watalii wanatafutwa kwa kupitia TBC, Wewe ndio mjinga zaidi ya wooteee! Au watalii wa ndani? Wewe kichekesho kweli kweli! Ndio maana hatuendelei kama watu design yako wakiwa viongozi na charisma 0%
Ungekuwa na akili ya kujiongeza kidogo usingeuliza swali la kipumbafu namna hiyo.... Sijui wabongo ni lini tutabadilika
 
Anajipeleka puta mwenyewe angalia kina Malicky Sarr wa Senegal wala hawana mbwembwe na nchi inasonga mbele
Senegal unadhani kuna watu wanao shinda kwenye mitandao? Watu wanapiga kazi mzee ooh... Endelea kutamani vya wanaume wenzako
 
Ungekuwa na akili ya kujiongeza kidogo usingeuliza swali la kipumbafu namna hiyo.... Sijui wabongo ni lini tutabadilika
Bado nakuona zumbukuku, na hapo umetumia akiliyako 100% Tanzania tuna Mizigo! Mbona huelewi????
 
Tumealika TEMBO 3, SIMBA 4, TWIGA 8, KENGE 8, NYUMBU 12, MAWAZIRI 9, NAIBU MAWAZIRI 3, MIJUSI 6, MAMBA 2, PUNDAMILIA 7. Chakula kwa wagner waalikwa wote kitakuwepo.
 
Waachie wenye kazi zao mjomba. We fanya yako. Ukiona unaumizwa na jambo ambalo halina madhara yoyote kwako jua una maradhi yanakutafuna taratibu. Wahi hospital
Awamu ya JPM kuna wengi wanaoteseka. Yeye kasikia kuzindua mbuga akajua ni kama kuzindua uwanja wa mpira.

Hajui kuwa yanaweza kutengenezwa mazingira ya kitaalam na wataalam wa wanyama na uwepo wa wanyama wengi sehemu moja ukaweza kugeuka kuwa uwepo wa hifadhi.

Fursa zipo nyingi sana Afrika lakini akili zetu hasi zinatufanya tusizione. Mzungu akija, mara moja tu anaanza kutajirika halafu anatuacha midomo wazi tukishangaa.
 
Unique au ulimbukeni, hata kichaa huwa anadhani anafanya unique kumbe watu wanamshangaa.
Kwani kinaharibika nini akizindua.

Kule kutangazwa uazinduzi tu hata wewe mwenyewe umeshaelewa kuna mbuga kule. Shida inabaki je wewe ni mtalii? Unapenda kutembelea mbuga kujionea Wanyama? Sisi tunaopenda kwenda mbugani mapumuziko tunasema wamefanay vyema tumefahamu na tunaahidi tutaenda.

Baki na siasa zako.
 
Hakukuwa na haja ya sherehe. Nakumbuka kuna hifadhi ndogo zilishawahi kuwa promoted wala hakukuwa na sherehe hivi.
 
Ni maoni yako,japo ni ya kishenzi lakini yaheshimiwe
 
Shida ni matumizi mbaya ya mali ya umma.
 
rafiki hapo usiumize kichwa chako
1. ni sahihi kuzinduliwa maana Hata species za wanyama zimepelekwa hapo!
2. ilikuwepo pori sasa linagheuzwa mbuga - maana Chato International Irport / na najiwahi kupendekeza naona mnachelewa ili siku akitokea mtu akapendekeza niwe ninmewahi jina la airport libadilishwe na kuwa The Dr John Pombe Magufuli International Irport - watalii watakuja kutoka kila kona ili kuangalia wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…