Wamesema kuna mambo zaidi wametekeleza katika awamu hii hili ni la 51 uwanja wa mpira ni la 52 hahahhh nchi inaongozwa na viwete wa akiliNatatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
YANI mpwa nilijikuta nasahau watu waliokufa!Hahaha haaaaa haaaaa haa Wanyama wame fanyaje?
imaaagine!Hahaha hahaaaa yaani as if ni human creation !!!!!!!!!!!!
Wale wanaochukuliwa toka nje wakishaanza kuzaa nao tutafanya uzinduzi wa wanyama wapya toka nje ya nchi? Nawaza tu.Watoto wadogo kama ninyi kuuliza ni vizuri maana mambo mengi mumeyakuta yalishafanyika zamani.
Ni muhimu kuzindua na ndio kutangaza utalii kwenyewe.
Wanyama wanahamishwa na kupelekwa maeneo tofauti tofauti duniani kote.
Wengine wanachukua toka nje ya nchi ili kuzalisha na kurudisha.
Dah! we jamaa😅😁na hapo ndipo tutakapokubaliana billa shuka yoyote kwamba kila walipo watanzania wanne,mmoja wa ni kichwa,na probability ya huyo kichaa kuwa kiongozi wa wengine ni 0.25.Sasa swali litabaki ilikuwaje watu wote tukaambukizwa ukichaa
Yan complete idiots😅Wamesema kuna mambo zaidi wametekeleza katika awamu hii hili ni la 51 uwanja wa mpira ni la 52 hahahhh nchi inaongozwa na viwete wa akili
Kazindua ndege amechoka sasa anazindua mapori😅Wale wanaochukuliwa toka nje wakishaanza kuzaa nao tutafanya uzinduzi wa wanyama wapya toka nje ya nchi? Nawaza tu.
Na Mbuga yenyewe ipo wilaya ya Muleba, Kagera. Nashangaa jamaa ameiparamia na kuiita Burigi - Chato! Sasa sijui mbuga itakuwa Muleba alafu wanyama ni wa Chato?? Na je kodi na mapato yatakuwa yanaingia kwenye Halmashauri ya Muleba ama Chato??? Haya ni maajabu na ni ubakajiNatatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Kazi kweli.Hapa jirani yetu kaoa juzi wakishapata mtoto tunahitaji uzinduzi kwa kweli.Kazindua ndege amechoka sasa anazindua mapori[emoji28]
Kadiri itakavyo faa.Wale wanaochukuliwa toka nje wakishaanza kuzaa nao tutafanya uzinduzi wa wanyama wapya toka nje ya nchi? Nawaza tu.
YANI mpwa nilijikuta nasahau watu waliokufa!
Nikawaza mbuga inazinduliwaje?
yani kuna siku mtu atakuja azindue bahari ya hindi!
HAKIIIII JANA hawa watu wamejua kunitegua akili!
[emoji23]Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
najitahidi kupuuzia , nisifuatilie haya mambo lakini dah!Yaani mpwa hili taifa lako sijui lina pelekwa wapi. ..Huyu mobutu seseko wa karne hii tutamkoma
najitahidi kupuuzia , nisifuatilie haya mambo lakini dah!
Kuna vitu moyo unshindwa jamani!
yani nilijikuta naumia ile ya kikweli kabisa ndani!
dah!
haya lakini!
Huyu mzee ni hatari sana! Jiandaeni kwa uzinduzi wa kula nyama ya nguchiroUnaleta habari za kijinga.
Serengeti inazinduliwa lini?Ukiwa mbumbumbu kwenye ishu za kiuchumi huwezi kuona umuhimu wa Rais kuzindua hiyo mbuga
Kwa tafsiri yako ni kama hajamzindua mama janeti!!Dah.. Lisu anaowategemea wampeleke Ikuku wote ni mambumbumbu tupu!
Kuzindua maana yake ni ili ijulikane kwamba kule kuna mbuga. Mfano mimi nimejua juzi kwamba kuna mbuga huko, sasa nyumbu walivyowajinga wanafikiri kutangaza utalii ni lazima ukatoe tangazo redioni. Shida sana aisee