Hivi mtu akifa huwa anaenda wapi?

Hivi mtu akifa huwa anaenda wapi?

Haendi popote ila anapelekwa kaburini ndio nyumba ya milelee
 
kwa hiyo hizi habari za kusema tutafufuka kumbe ni uongo
 
kuna life after death, mbona kuna hadi Jf ya waliotutangulia huko wanakula bata kama kawa. Unaambiwa huko mji mzima ni gold halafu kunanukia issey miyake kona zote. matunda ya kila aina na misosi ya kufa mtu ma barbecue nin, halafu mixer unachagua ndinga unayotaka frsh2.
Kaka, there ain't no person atakupa exact answer as there ain't no body who has gone there and come back to tell us. Even Jesus Himself hasnt come back!
 
naamini sitokuja jua kama nilivyokuwa tumboni kwa mama yangu sawa na nitakavyokuwa kabulini
 
Kaka mtu akifa haendi kokote hata ukifukua kaburi lake Baada ya miaka 100 bado utaikuta mifupa yake yote ambayo haijaoza. Swali sahihi ni kuwa hivi ROHO ya mtu akisha kufa huwa inaenda wapi? Ila kuuliza hilo swali kwanza inabidi uamini kuwa binaadamu tuna roho. Je unaamini hili?
 
Critical thinking..swali gumu kwakweli..lina uwanda mpana sana
 
binadamu ni mwili roho na akili
akili sio brain ni mind. Mind ni manifestation ya Mungu. Mtu akufa ni spirit inaachana na mwili. spirit hubaki kwenye invisible world na inaweza fanya majanga kama haikutendewa haki. Ni somo kubwa ambalo wengi hawajui. Hata mapadri na wachungaji na mashehe wanajua ila hawatakuambia maana wakifanya hivyo hawatakuwa na kazi.
 
Najua wengi wataniona labda chizi,huwa najiuliza hili swali sipata jibu.Wengine wanasema kuna maisha huko kaburini,sijui adhabu ya kaburi, mtu anabanwa mbavu,wengine wanasema roho inaenda mbinguni,huko mbinguni ni wapi? Naombeni jibu mnaojua
Haendi mahali...wanakula siafu
 
Najua wengi wataniona labda chizi,huwa najiuliza hili swali sipata jibu.Wengine wanasema kuna maisha huko kaburini,sijui adhabu ya kaburi, mtu anabanwa mbavu,wengine wanasema roho inaenda mbinguni,huko mbinguni ni wapi? Naombeni jibu mnaojua

Mwagitho, naona majibu-mzaha yamekuwa mengi. Mie natoa jibu 'serious' ambalo pia ni 'practical', ila nitatumia kiswaenglish. A man has three parts. 1. Body/Mwili, 2. Soul/Nafsi (a soul is a seat of mind+affection+emotion) na 3. human Spirit.

Mwili ni nini?
- Unaufahamu-sihitaji kueleza; ila imeandikwa 'Bwana akafanya mtu toka katika udongo'. Mwili umetoka udongoni. Mtu akifa, Mwili unapelekwa kaburini, 'wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi' Mwili ni mchanganyiko wa calcium - mifupani, water-ktk damu na nyama, madini ya chumvi za aina mbalimbali ambavyo vyote vinapatikana udongoni vilipotoka!

Human Spirit ni nini? Ni 'pumzi ya uhai' toka kwa Mungu. 'Bwana akampulizia 'pumzi ya uhai' huyo mtu aliyefanywa kwa udongo, na huyo mtu akawa NAFSI HAI'. Nafsi ni matokeo ya human spirit kuungana na human body.

- Pia 'a spirit' is a person. Huyu 'spirit' akipokea nguvu za ki-Mungu/ki-Yesu na Mungu akitaka, anaweza kumpa uwezo mara mojamoja (occassionally) wa kuona baadhi ya mambo ktk ulimwengu wa roho - the invisible spiritual world, lakini ni kwa lengo maalumu mfano- vita ya kiroho, kuchochea maombi maalumu, etc. Kwenye invisible spiritual world kuna spirits wengine ambao ni non-human; spirits hao ni 1. angels, 2 God (katika utatu wake) na 3 Satan and his demons (shetani na mapepo/majini yake).

Huyu human spirit akipokea nguvu za ki-shetani au ki-pepo-wabaya anakuwa na uwezo wa kuamua mwenyewe kufanya mambo kadhaa mfano: - kuruka usiku akiacha mwili wake kitandani, kinachoruka ni spirit na soul. Pia anakuwa na uwezo wa kusoma nyota, viganja, kutabiri - kwa maana ya fore-telling. Pia wengi wa wanao-advance sana katika Yoga, Kung-fu, Karate, Ninju-tsu, Witchcraft, Mazingaombwe, transcendental meditation, n.k. huwa wamepokea nguvu hizi za ki-pepo. The climax of all these demonic powers ndio akina ILLUMINATI, hasa wale INNER CIRCLE.

Soul/Nafsi ni nini?
Kulingana na bible, soul/nafsi ni matokeo ya kuunganika kwa human spirit na mwili wa udongoni. Bwana alipompulizia 'pumzi ya uhai' yule mtu wa udongo, ikatokea NAFSI. Nafsi nayo 'is a person' ila hawezi kufanya jambo independent of a spirit. Na anasukumwa na spirit mojawapo kati ya 'human spirit or God's spirit' au 'demonic/satanic spirit' Nafsi ndio wewe haswaaa! Nafsi ndio kiti cha 'mind, emotions na affection'. 1 toa 2 unapata ngapi? kinachojibu swali hilo ni soul-mind. Kama wee ni mwanaume unapenda mwanamke mnene au mwembamba? Anayejibu swali hilo ni soul-affection; swali jingine, mtu akikurushia maji machafu ya mvua kwa kuyakanyaga kwa gari lake kwa makusudi saa mbili asubuhi ukiwa njiani kuelekea ofisini/kibaruani, how angry do you become? hiyo hasira inatoka kwa soul-emotion. Ila kama nilivyosema hapo juu, chochote kitokacho kwa SOUL huwa kimeanzia kwa human spirit or demonic spirit or God's spirit.

Sasa baada ya 'definition' ndefu. Mtu akifa huenda wapi?

Mwili huzikwa kaburini ulikotoka

Nafsi ambayo ni wewe haswaaa hupotea mara baada ya human spirit kutengana na mwili. Nafsi ilitokea baada ya mwili kuungana na spirit/roho. Pia nafsi hupotea pale mwili unapotengana na human spirit. Pia Nafsi na mwili vitafufuliwa siku ya ufufuo/kiyama.

Human spirit never dies. Kwa mwanadamu aliyeshika njia ya Mungu wa Yesu Kristu hadi mwisho wa uhai wake, human spirit inarudi kwa Mungu na inaendelea kuishi huko. Sijui kama inakuwa idle ikingojea ufufuo wa mwili au kuna activity wanafanya. Hiyo experience sina.

Kwa mwanadamu aliyeenda kinyume na njia ya Yesu hadi mwisho wa maisha yake ya hapa, pia sina experience kuhusu human spirit yake huenda wapi - ila kwa mujibu wa maandiko inaenda mahali pa huzuni kubwa ikisubiri hukumu ya mwisho.

Kwa heri
 
mtu akifa kwa kawaida huzikwa chini ardhini,au wengine huchomwa moto kutokana na imani yao na mjivu kutawanywa baharini au hutunzwa,na kuna jamii pia huishi na maiti zao yani huzitunza wakiamini ni guardian wao kiroho uku duniani,kuhusu sijui kubanwa mbavu hicho kitu kiko kiimani sana na ukiangalia kiuhalisia kitu kama hicho hakuna kabisa,mtu akishakufa anakua sio hai tena hivyo hawezi kufeel chochote kile baada ya hapo,nadhani nimejitahidi kidogo kukujuza kuhusiana na swali lako
 
Mwagitho, naona majibu-mzaha yamekuwa mengi. Mie natoa jibu 'serious' ambalo pia ni 'practical', ila nitatumia kiswaenglish. A man has three parts. 1. Body/Mwili, 2. Soul/Nafsi (a soul is a seat of mind+affection+emotion) na 3. human Spirit.

Mwili ni nini?
- Unaufahamu-sihitaji kueleza; ila imeandikwa 'Bwana akafanya mtu toka katika udongo'. Mwili umetoka udongoni. Mtu akifa, Mwili unapelekwa kaburini, 'wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi' Mwili ni mchanganyiko wa calcium - mifupani, water-ktk damu na nyama, madini ya chumvi za aina mbalimbali ambavyo vyote vinapatikana udongoni vilipotoka!

Human Spirit ni nini? Ni 'pumzi ya uhai' toka kwa Mungu. 'Bwana akampulizia 'pumzi ya uhai' huyo mtu aliyefanywa kwa udongo, na huyo mtu akawa NAFSI HAI'. Nafsi ni matokeo ya human spirit kuungana na human body.

- Pia 'a spirit' is a person. Huyu 'spirit' akipokea nguvu za ki-Mungu/ki-Yesu na Mungu akitaka, anaweza kumpa uwezo mara mojamoja (occassionally) wa kuona baadhi ya mambo ktk ulimwengu wa roho - the invisible spiritual world, lakini ni kwa lengo maalumu mfano- vita ya kiroho, kuchochea maombi maalumu, etc. Kwenye invisible spiritual world kuna spirits wengine ambao ni non-human; spirits hao ni 1. angels, 2 God (katika utatu wake) na 3 Satan and his demons (shetani na mapepo/majini yake).

Huyu human spirit akipokea nguvu za ki-shetani au ki-pepo-wabaya anakuwa na uwezo wa kuamua mwenyewe kufanya mambo kadhaa mfano: - kuruka usiku akiacha mwili wake kitandani, kinachoruka ni spirit na soul. Pia anakuwa na uwezo wa kusoma nyota, viganja, kutabiri - kwa maana ya fore-telling. Pia wengi wa wanao-advance sana katika Yoga, Kung-fu, Karate, Ninju-tsu, Witchcraft, Mazingaombwe, transcendental meditation, n.k. huwa wamepokea nguvu hizi za ki-pepo. The climax of all these demonic powers ndio akina ILLUMINATI, hasa wale INNER CIRCLE.

Soul/Nafsi ni nini?
Kulingana na bible, soul/nafsi ni matokeo ya kuunganika kwa human spirit na mwili wa udongoni. Bwana alipompulizia 'pumzi ya uhai' yule mtu wa udongo, ikatokea NAFSI. Nafsi nayo 'is a person' ila hawezi kufanya jambo independent of a spirit. Na anasukumwa na spirit mojawapo kati ya 'human spirit or God's spirit' au 'demonic/satanic spirit' Nafsi ndio wewe haswaaa! Nafsi ndio kiti cha 'mind, emotions na affection'. 1 toa 2 unapata ngapi? kinachojibu swali hilo ni soul-mind. Kama wee ni mwanaume unapenda mwanamke mnene au mwembamba? Anayejibu swali hilo ni soul-affection; swali jingine, mtu akikurushia maji machafu ya mvua kwa kuyakanyaga kwa gari lake kwa makusudi saa mbili asubuhi ukiwa njiani kuelekea ofisini/kibaruani, how angry do you become? hiyo hasira inatoka kwa soul-emotion. Ila kama nilivyosema hapo juu, chochote kitokacho kwa SOUL huwa kimeanzia kwa human spirit or demonic spirit or God's spirit.

Sasa baada ya 'definition' ndefu. Mtu akifa huenda wapi?

Mwili huzikwa kaburini ulikotoka

Nafsi ambayo ni wewe haswaaa hupotea mara baada ya human spirit kutengana na mwili. Nafsi ilitokea baada ya mwili kuungana na spirit/roho. Pia nafsi hupotea pale mwili unapotengana na human spirit. Pia Nafsi na mwili vitafufuliwa siku ya ufufuo/kiyama.

Human spirit never dies. Kwa mwanadamu aliyeshika njia ya Mungu wa Yesu Kristu hadi mwisho wa uhai wake, human spirit inarudi kwa Mungu na inaendelea kuishi huko. Sijui kama inakuwa idle ikingojea ufufuo wa mwili au kuna activity wanafanya. Hiyo experience sina.

Kwa mwanadamu aliyeenda kinyume na njia ya Yesu hadi mwisho wa maisha yake ya hapa, pia sina experience kuhusu human spirit yake huenda wapi - ila kwa mujibu wa maandiko inaenda mahali pa huzuni kubwa ikisubiri hukumu ya mwisho.

Kwa heri

Mkuu Nimeona mchango wako Uko Na SIHA Kwa Jf!
Nataka nianze na mafungu ndani ya bible!

And the Lord God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and a man became a living being. Genesis 2:7

Then the dust will return to the earth as it was. And the spirit will return to God who gave it. Eccl 12;7

Mkuu Kwa mafungu hayo mawili yanaonesha Mungu ktk uumbaji alifanya vitu viwili na si vitatu!
Aliumba mwili then huo mwili akaupulizia Puani PUMZI ya uzima Na hapo ndipo alipokua binadamu!

Na tunaona mtu akifa mwili hurudi udongoni na roho humrudia Yule alie itoa! Na hapa hii roho iko wazi kabisa humrudia alieitoa wala Biblia haisemi Kua huko roho itakua inaishi Au laa!
Kwahiyo Kwa fasiri rahisi kile alichokitoa Mungu ktk uumbaji ni PUMZI /ROHO

Na hapa ni Wafu Wote awe mdhambi Au Mwenye haki Wote ni mfumo mmoja Kwani wakati Wa hukumu ni sasaivi tulivyo hai na mtu akifa hesabu Yake inafika mwisho! Ila ktk ufufuo ndio kutaku na ufufuo miwili wenye haki watafufuliwa kwanza then wazambi!

Na pia sio kila nafsi itaonja mauti no! Atakapokuja Mwana Wa Adamu atakuta wanadamu wako hai! Wale walio na haki watachukuliwa kwenda mbinguni pamoja na wale waliokufa ktk haki watafufuliwa na kwenda mbinguni na wale watakao Kutwa duniani wazambi watakufa na shetani atafungwa miaka 1000!

Then Dunia itabaki ukiwa na tupu na mizoga ikiwa ktk USO Wa Dunia. Then shetani atafunguliwa na wazambi kufufuliwa na kuteketezwa na Zambi kutokomezwa!

Dunia itafanywa mpya na watakatifu watakuja kuishi hapahapa duniani!

Kwahiyo Wafu Wote wako makaburini wenye haki na wadhambi Wote wakisubiri ufufuo siku ya mwisho na Hawajui chochote wala hawaishi! Mafungu yako mengi ndani ya bible!

Na pia Tujikumbushe kisa Cha Razaro alipofufuliwa na Yesu! Alikua hana story za kutueleza Kule alipokua ata Yesu alipokua akipaza sauti hakusema Razalo shuka toka mbinguni Au toka huko kuzimu Au toka huko kwenye mateso! Alisema Kwa sauti Kua Razalo toka humo yani kaburuni!

Asante sana!
 
Mkuu Nimeona mchango wako Uko Na SIHA Kwa Jf!
Nataka nianze na mafungu ndani ya bible!

And the Lord God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and a man became a living being. Genesis 2:7

Then the dust will return to the earth as it was. And the spirit will return to God who gave it. Eccl 12;7

Mkuu Kwa mafungu hayo mawili yanaonesha Mungu ktk uumbaji alifanya vitu viwili na si vitatu!
Aliumba mwili then huo mwili akaupulizia Puani PUMZI ya uzima Na hapo ndipo alipokua binadamu!

Na tunaona mtu akifa mwili hurudi udongoni na roho humrudia Yule alie itoa! Na hapa hii roho iko wazi kabisa humrudia alieitoa wala Biblia haisemi Kua huko roho itakua inaishi Au laa!
Kwahiyo Kwa fasiri rahisi kile alichokitoa Mungu ni PUMZI /ROHO

Na hapa ni Wafu Wote awe mdhambi Au Mwenye haki Wote ni mfumo mmoja Kwani wakati Wa hukumu ni sasaivi tulivyo hai na mtu akifa hesabu Yake inafika mwisho! Ila ktk ufufuo ndio kutaku na ufufuo miwili wenye haki watafufuliwa kwanza then wazambi!

Na pia sio kila nafsi itaonja mauti no! Atakapokuja Mwana Wa Adamu atakuta wanadamu wako hai! Wale walio na haki watachukuliwa kwenda mbinguni pamoja na wale waliokufa ktk haki watafufuliwa na kwenda mbinguni na wale watakao Kutwa duniani wazambi watakufa na shetani atafungwa miaka 1000!

Then Dunia itabaki ukiwa na tupu na mizoga ikiwa ktk USO Wa Dunia. Then shetani atafunguliwa na wazambi kufufuliwa na kuteketezwa na Zambi kutokomezwa!

Dunia itafanywa mpya na watakatifu watakuja kuishi hapahapa duniani!

Kwa habari ya spirit, soul and body being 3 parts soma 1 Thessalonians 5:23 'May God himself, the God of peace, sanctify you through and through. May your whole spirit, soul and body be kept blameless at the coming of our Lord Jesus Christ.' Na tafsiri ya hiyo verse yako hapo juu ni kama ifuatavyo: 'man of the dust of the ground' is a body; the breath of life - is a spirit, the living being is the soul. Tafuta biblia ya ki-ebrania au ki-giriki uone; pia soma kitabu, THE SPIRITUAL MAN - by Watchman Nee or HE CAME TO SET THE CAPTIVES FREE - by Rebecca Brown. MD. Mie siongei theory, naongea vitu practical mkuu.
 
Asante Mkuu!
Lakini kuna kitu nakiona ambacho Mungu hajakiumba Bali ni matoke ya mwili na PUMZI ya uzima then Man became a living being ambayo wewe unasema Soul. Au Sijui nimekuelewa vibaya?
 
Huwa najiuliza kuwa kuna njia nyingi sana za kifo ajali? kuwawa, kujiuwa, ugonjwa, kupotea usingizini, na wakati mwingine kupotea katika mazingira yasiyoelezeka kwa kwa akili ya Manadamu(kifo cha Musa na Elia).

Njia hizo zote zimetofautiana je, ni athabu Mungu ametoa kwa mwanadamu kulingana na matendo yake mpaka ikawa kuna njia tofauti kama hzo?

Na je, mtu akifa huwa roho yake inaenda wapi?

NB!! uthibitisho ni muhimu ktk maelezo yetu.
 
matendo yako yatakujulisha unaenda wapi halafu unadhani umeletwa duniani ucheze bumping enh?? subiri wakati wako ukifika utapata majibu lukuki kuhus swal lako
 
Critical thinking..swali gumu kwakweli..lina uwanda mpana sana
Ndugu soma kitabu cha mungu, kina majibu yote, usiulize mtu wa aina yeyote. labda hitaji ufafanuzi, liko wazi jambo hili ni wale vipofu wa macho na wajinga wa akili wasio weza kusoma biblia tu ndio hawawezi kulijua hili. Baada ya kifo ni Motoni au Mbinguni.kwenye maisha ya milele na milele, ni mara to baada ya kifo,
Kwahiyo wale wote wanatenda maovu kama vile Wizi, Uongo, Ulafi,Uzinzi, Uasherati,Ukahaba, Uchonganishi, Uonevu, Uchawi, Uganga wa Kienyeji, Ugangaa wa jadi, Waabuduo sanamu, Wapinga Kristo, watumiao Madaraka kwa manufaa yao wanyewe, wanaoua albino, Wasiowatetea albino, wa wengine wanaofanana na hawa, wote ni baada ya kifo Hukumu na kutupwa motoni,
 
1 hakuna maisha baada ya kufa
2 ukifa mifumo yako yote ina stop kufanya kazi
3 utaanza anza ku decompose
4 huo ndio mwisho wako milele

hivyo furahia maisha yako yaliyobaki hakunamaisha mengine.
 
Back
Top Bottom