Hivi mtu akifa huwa anaenda wapi?

Mwagitho

Senior Member
Oct 11, 2013
111
0
Najua wengi wataniona labda chizi,huwa najiuliza hili swali sipata jibu.Wengine wanasema kuna maisha huko kaburini,sijui adhabu ya kaburi, mtu anabanwa mbavu,wengine wanasema roho inaenda mbinguni,huko mbinguni ni wapi? Naombeni jibu mnaojua
 

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Kwa jinsi ninavyojua mtu akifa anwekwa kwenye jeneza na kwenda kuzikwa then anakuwa chakula cha ardhi umeelewa?
 

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Hii mada kama inafit Jamii intelligence kule!!!
Anyway!
...
Mtu akikufa hawezi kwenda tena!!!
Ni watu waliohai ndio wanampeleka kaburini!
 

okaoni

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
1,392
2,000
Reincarnation is the religious or philosophical concept that the soul or spirit, after biological death, begins a new life in a new body that may be human, animal or spiritual depending on the moral quality of the previous life's actions. This doctrine is a central tenet of the Indian religions.It is also a common belief of various ancient and modern religions such as Spiritism,Theosophy, and Eckankar and is found in many tribal societies around the world, in places such as Siberia, West Africa, North America, and Australia.
Although the majority of sects within the Abrahamic religions of Judaism, Christianity, and Islam do not believe that individuals reincarnate, particular groups within these religions do refer to reincarnation; these groups include the mainstream historical and contemporary followers of Kabbalah, the Cathars,the Druze and the Rosicrucians. The historical relations between these sects and the beliefs about reincarnation that were characteristic of Neoplatonism, Orphism, Hermeticism,Manicheanism and Gnosticism of the Roman era, as well as the Indian religions, has been the subject of recent scholarly research.
 

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,210
2,000
mwagito mtu akifa haendi popote zaidi ya kaburini kwenye udongo (ingawa kuna wanaoweka mazege!!!) kuoza kuko pale. record zote zinafutwa siku roho ikitengana na mwili
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom