Hivi mtu akifa huwa anaenda wapi?

Hivi mtu akifa huwa anaenda wapi?

1 hakuna maisha baada ya kufa
2 ukifa mifumo yako yote ina stop kufanya kazi
3 utaanza anza ku decompose
4 huo ndio mwisho wako milele

hivyo furahia maisha yako yaliyobaki hakunamaisha mengine.

Avator yako na maelezo yako ya mwisho vimefanana sana!!!
 
Bibi yangu alitangulia mbele ya haki baada ya siku mbili nilimuota akikuja kitandani kwangu na akawa analia kwa uchungu huku anakibana kile chandarua changu kwa kichwa huku akisema "nimekoma nimekoma kwa sauti ya ukali wa maumivu sana"

Kwa kweli ilikua ni ngumu kumuuliza yuko wapi
 
umuulize yuko wapi kwani alipotea baada ya kufa au mlimzika? hizo ni ndoto tu zisikupe shida mtu akifa kwisha habari yake.
 
kuna life after death, mbona kuna hadi Jf ya waliotutangulia huko wanakula bata kama kawa. Unaambiwa huko mji mzima ni gold halafu kunanukia issey miyake kona zote. matunda ya kila aina na misosi ya kufa mtu ma barbecue nin, halafu mixer unachagua ndinga unayotaka frsh2.
Kaka, there ain't no person atakupa exact answer as there ain't no body who has gone there and come back to tell us. Even Jesus Himself hasnt come back!

si alikufa akarudi mkuu au unamanisha hakufika panapotakiwa???
 
binadamu ni mwili roho na akili
akili sio brain ni mind. Mind ni manifestation ya Mungu. Mtu akufa ni spirit inaachana na mwili. spirit hubaki kwenye invisible world na inaweza fanya majanga kama haikutendewa haki. Ni somo kubwa ambalo wengi hawajui. Hata mapadri na wachungaji na mashehe wanajua ila hawatakuambia maana wakifanya hivyo hawatakuwa na kazi.
ufafanuzi zaidi apa??
 
Uhai unafananishwa na moto ulio kwenye mshumaa,ukiuzima una kwenda wp?
 
Kwa dini yangu naamini nikifa roho inaenda mbinguni kwa Mungu.. Mwili unarudi ardhini

Maandiko yanatuambia tutaenda mbinguni siku hiyo ikifika, kwa sasa ukifa Roho yako inabaki duniani mpaka siku ya kiama???

Swali ni je, hii roho inakaa wapi kwa wakati huo wa kusubiria siku ya ahadi?

Je Roho bila brain inajitambua? Inakula? Haya yote tumuachie Mungu...fumbo la Imani hilo🙂
 
mwagito si usubiri wakati wako ukifika utajua tu, hamna anayejua hapa mwenye uzoefu na hilo. zaidi ya kuamini maandiko tu.

Mkuu ni vizuri ajue sasahv kabla hajafa,
 
Last edited by a moderator:
Mtu akifa amekufa...hakuna cha zaidi, hayo mengine ni mpango wa shetani kuchanganya watu tu. Binadamu akifa ni kama kiumbe kingine tu kinavyokufa mfano mbwa, simba, fisi na n.k...so hizo habari zingine hua ni kupotosha tu. Wish kila mtu angelielewa hili somo, yaani watu wasingekua na imani za kuhangaika na wafu kabisa!
 
Acha kufikiria ukifa unaenda wapi. Life is to be lived. Tumia maisha uliyonayo hapa sasa kujifunza, kujirekebisha na kuweza kujitambua vyema. Haijalishi kama kuna mbingu, motoni, pepo, reincarnation, or whatever. Just focus on the present moment and live it to the righteousness. The future will settle itself.
 
Mleta mada: mtu akifa anaenda sehemu mbalimbali kulingana na IMANI YA WALIOBAKI:
1. Pagan: akifa ndio basi, kwisha habari yake.
2. Buddha: akifa ama anazaliwa tena kama kiumbe kingine, au anaingia nirvana.
3. Islam: roho inakwenda kuzimu kusubiri hukumu siku ya kiama.
4. Christianity: roho inakwenda peponi kusubiri hukumu siku ya kiama.
5. Hinduism: roho inarudi duniani kuendelea na Maisha kama kiumbe kingine.
 
Mleta mada: mtu akifa anaenda sehemu mbalimbali kulingana na IMANI YA WALIOBAKI:
1. Pagan: akifa ndio basi, kwisha habari yake.
2. Buddha: akifa ama anazaliwa tena kama kiumbe kingine, au anaingia nirvana.
3. Islam: roho inakwenda kuzimu kusubiri hukumu siku ya kiama.
4. Christianity: roho inakwenda peponi kusubiri hukumu siku ya kiama.
Una majibu mazuri sana
 
Najua wengi wataniona labda chizi,huwa najiuliza hili swali sipata jibu.Wengine wanasema kuna maisha huko kaburini,sijui adhabu ya kaburi, mtu anabanwa mbavu,wengine wanasema roho inaenda mbinguni,huko mbinguni ni wapi? Naombeni jibu mnaojua

We are not our bodies. Kazi ya miili yetu ni kubeba roho zetu na kuonyesha hisia ya roho mfano kulia au kucheka. Ukifa mwili unabaki hapahapa duniani na maisha yanayofuatia hakuna anayejua. Ni kama ulipokuwa tumboni kwa mzazi wako. Hukuwahi kujiuliza utaenda wapi, ulikuwa hujui chochote kuhusiana na maisha yanayofuata. Hilo ni fumbo. Unachotakiwa ni kutumia maisha yako ya sasa kujifunza, kujirekebisha na kujitambua. Maisha yanayofuata yatajipanda tu yenyewe. Kama unatenda mema huna haja ya kuogopa maisha yajayo kwani unatumia maisha yaliyopo ipasavyo.
 
Heshima kwako mkuu,...long-time no see you kaka,
 
Bibi yangu alitangulia mbele ya haki baada ya siku mbili nilimuota akikuja kitandani kwangu na akawa analia kwa uchungu huku anakibana kile chandarua changu kwa kichwa huku akisema "nimekoma nimekoma kwa sauti ya ukali wa maumivu sana"

Kwa kweli ilikua ni ngumu kumuuliza yuko wapi

Hahaha amekoma nini? Au alikuwa mchawi nini?
 
Back
Top Bottom