ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Kwa hii nchi yetu kumekuwa na stori nyingi za vijiweni , yaani Nani anariport kwanani Nani ni mkuu wa majeshi, Sasa leo nimekuta mabishano kijiwe Cha drafti, yaani wakuu watano wa hii nchi ya muungano ni Nani namba 1,2,3,4,5, hata Rais Samia aliwahi kusema hapo nyuma kabla ya kuwa mkuu wa nchi kuwa yeye ni namba 2 kwa wakati huo.
Sasa kwamimi Mambo ninavyoyaona arrangement hiko hivi ,
1. Rais wa Muungano
2. Rais wa Zanzibar
3. Waziri Mkuu
4. Makamu wa Rais Muungano
5. CDF - Mkuu wa Majeshi
Je, kiuelewa huo mpangilio hapo juu ni sawa au nimechemsha, na he ni upi mpangilio sahihi