Hivi mngeweza wanaume?

Hivi mngeweza wanaume?

Kwanza unajivisha jinsia isiyo yako [h=2]Re: Hivi mngeweza wanaume?[/h]
Dada Nivea wazo la huyu ndugu ni tata.

Lakini namshauri akapasuliwe ili aweze kuonja ladha ya hiyo hali!.

Hahahaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!

Kwanza unajivisha jinsia isiyo yako kucha cha bandiko (Re: Hivi mngeweza wanaume?) kinaonyesha wewe si wa kiume hata maelezo yako yanajichanganya.
jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa
Dada Nivea wazo la huyu ndugu ni tata.

Lakini namshauri akapasuliwe ili aweze kuonja ladha ya hiyo hali!.
 
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!
Haki ya mama...tungekoma......
 
Mmmmm!ndio maana wanawake wanatamani wangekuwa wanaume.
 
Dar pole xna jembe kwa kuwaza kupigwa miti....!
 
makubwa mleta maada kweli unakaakili kambali sana ila kana choma
 
Malengo ya milenia yana vikwazo vingi kwakweli.Subiri siku ukiona kenge kabeba begi anaenda tuition ndio uanze kuwaza hii kitu
 
Mwanaume gani wewe unawaza kubeba mimba?
Aisee!!!! Mimi binafsi nimeshtuka sana. Yaani siku hizi Gay elements are all over the place! Prolly has something to do with the food we eat or drinks...SMFH. So effin pitiful. Njemba nzima inawaza kubeba mimba...what's next?
 
Great thinkers see it diffently...think outside the box man!
 
Huyu jamaa atakuwa crazy hata kama siyo asilimia miamoja buta ana elementi za u-crazy.
Huwezi ukamdhihaki Mungu.
Mungu angeamua wote tuzae haijalishi mwanamke au mwanaume tungezaa bila maswali yoyote. Acha u.k.u.d.a wewe.
 
Mkuu, hizo ndiyo dalili za awali za mwanaume kuwa shoga.

Si dalili huyo ni shoga mzoefu wa kusuguliwa khaaa uchafu, hebuafikilie anavyo muingizia mkewe ajigeuzeyeye, Mihata tukilaka na njemba akaniwekea mguu zinapigwa
 
Huyu jamaa atakuwa crazy hata kama siyo asilimia miamoja buta ana elementi za u-crazy.
Huwezi ukamdhihaki Mungu.
Mungu angeamua wote tuzae haijalishi mwanamke au mwanaume tungezaa bila maswali yoyote. Acha u.k.u.d.a wewe.

Tubishane kwa hoja,sio matusi...
 
Si dalili huyo ni shoga mzoefu wa kusuguliwa khaaa uchafu, hebuafikilie anavyo muingizia mkewe ajigeuzeyeye, Mihata tukilaka na njemba akaniwekea mguu zinapigwa

Work smart,not hard!
 
Mi naona majukumu ya wanaume ni zaidi ya kubeba mimba. sorry to all mamas.
 
Back
Top Bottom