Hivi mngeweza wanaume?

Hivi mngeweza wanaume?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!
 
jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa
 
Hivi kweli kuna watu huwa mnakosa vitu vya kuwaza...
Kwa hiyo umeshindwa namna yoyote ile ya kutueleza umuhimu wa mama hadi umezunguka namna hii
 
He!....neno lako la 6 sijalielewa......lina maana nyingine labda......?
ina maana ya wajanja hahahahahahahah Preta shimbonyi monomao pole na arachuga yako mwee!!!my mothers land is no more safe
 
GOD! fobd,kitu gani hiki tena.
Unapofikiria kubeba mtoto unafikiria kutungwa mimba,unapofikiria kutungwa mimba unafikiria kupigwa miti na unapofikiria kupigwa miti na huku we wa kiume.....
 
Think big!
 
If all men had to have babies, they would only have one each! Diana the princes of wyles
 
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!
ndiyo umejua leo?
 
Chunga sana mawazo ya kijinga namna hiyo yasikutawale!! Hata Sir Elton John alianza hivyo hivyo kama wewe sasa hivi ni mke wa mtu!!
 
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi wangezibeba kwa miezi tisa?
Mama ni mtu wa kumheshimu sana hapa duniani!

Kwanza unajivisha jinsia isiyo yako [h=2]Re: Hivi mngeweza wanaume?[/h]
jamaa ana wazo ila hao wajinga wawili hapo juu ndio hawajamwelewa
Dada Nivea wazo la huyu ndugu ni tata.

Lakini namshauri akapasuliwe ili aweze kuonja ladha ya hiyo hali!.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom