Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
tuko inbobo ya JF tunaangaikia mbususu sio mchezo samaki wapatikana mbali kinani
 
Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.

Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa au post mpya ni chache mno na wanaopost ni walewale.

Nikikaa masaa mawaili tu nimeshamaliza kupitia karibia threads zote mpya.

Sasa nyie mnaoshinda humu jf huwa kuna kipi kingine mnachofanya?
Tunakua tunashinda JF.
 
NItapotea na mtanimiss kweli kweli. Subiri
Sema utakuja na ID nyengine ambayo utatushia maisha,utatuonyesha jeuri,kiburi,ufedhuli haitatosha utatufanya tuijue shubiri ni nini!!,utatushikisha adabu!,zile hasira zako utazimalizia kwenye hiyo id na kubwa kuliko utatuchanganya kwenye jinsia tusijue tukutongoze au ututongoze!! Na Kabali ya mwisho kabisa utawasababishia member wengi kula ban mbaniko!....😅
 
Hapana bana sipo hivyo.
Mkongwe mie staki ID mpya. Halafu ntanigundua tu maana siwezi kufake..

Nilishawahi kuachana na ID yangu ya 2013 najuta hadi leo . So nikipotea ujue nimepotea kikwelikweli.
 
Sawa najua utapotea ukiwa kama mshangazi halafu utarudi ukiwa Binti kigoli wa miaka 19 mwenye chuchu kama mlima Kilimanjaro... Dunia inamengi na walimwengu ndo wenye hayo mengi..😂
 
Back
Top Bottom