KabisaMimi niko poa maana nilishajiongeza hivyo sina hofu yoyote ile.
Wewe unabaki na nyingi sana! Yaani ulipe madeni ibaki yote hiyo?!Jamani tujiajiri tu aisee, hivi vipato ni vidogo Sana, ukilipa madeni unajikuta ubaki na 250k, Matokeo yake unarudi kule kule
Hahahaha hahahahWewe unabaki na nyingi sana! Yaani ulipe madeni ibaki yote hiyo?!
Kila mtu anaskia lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi una habari mwezi jana tulichukua tarehe 18?! Huku wengine wakisubiria mpaka tarehe 24?!
Hahaha hahaha hahahaHahaha hahah alafi zinaingia zile sms za wahi kusajili line
Masikini mamako!!Uzi wa mialimu
Mijitu maskini
Aiseee... Umeona watu wanabaki na 250k baada ya kumaliza madeni?!Hahahaha hahahah
Hahahah ahahahahMasikini mamako!!
Mpuuze tuu Mkuu, kimya ni jibu zuri sana!Masikini mamako!!
Hahahah kazi kwelikweliHahaha hahaha hahaha
Sasa hivi kuna zile za kutotumia mifuko ya plastic
Masikini mamako!!Uzi wa mialimu
Mijitu maskini
Ni hivyo Mkuu, kama uligundua mwezi jana kuna baadhi tulipata mapema sanaKama ni hivyo basi kuna wakati wataanza kulipa kwa awamu. Maana ile miradi yetu pendwa ndiyo kwanza imeanza.
Wababa wanawahi nyumbani kweeeli tarehe zikiwa zinasubiriwaHahahah kazi kwelikweli
HahahahAiseee... Umeona watu wanabaki na 250k baada ya kumaliza madeni?!
Ha Ha HaWewe unabaki na nyingi sana! Yaani ulipe madeni ibaki yote hiyo?!
HahahahaNi hivyo Mkuu, kama uligundua mwezi jana kuna baadhi tulipata mapema sana