Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Wakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado?

Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
Wewe umetaka tujue tu kwamba umeajiriwa. Unauliza swali kama hili umekosa cha kupost?
 
Sioni mantiki ya kunadi kulipa salary tarehe 19,coz 19 hadi 19 hakuna tofauti na 30 to 30 tofaut ni siku 30 hivyohivyo.
 
Kuna wadau wanaweza wakaamini. Ila ukweli ni kwamba bado salary haijaingia kwa wafanyakazi wa serikali mpaka muda huu ninapoandika huu ujumbe hivyo plan b inahitajika kwa wale wenzangu na mimi. Labda kama wanaingiza kwa mafungu jambo ambalo halipo kwa sasa.
Hivi una habari mwezi jana tulichukua tarehe 18?! Huku wengine wakisubiria mpaka tarehe 24?!
 
Back
Top Bottom